Monday, October 3, 2022

News

Chelsea Wampa Mkataba wa Awali Nkunku

Chelsea Wampa Mkataba wa Awali Nkunku

0
Nyota wa Leipzig Christopher Nkunku ameripotiwa kusaini mkataba wa awali na Chelsea baada ya kufanyiwa uchunguzi wa siri wa afya na daktari wa klabu hiyo mwezi uliopita.   Kiungo huyo wa kati Mfaransa ameibuka kama mchezaji anayelengwa zaidi na Chelsea tayari...
Haaland Atambuliwa Kama Mwanasoka Bora wa L'Equipe

Haaland Atambuliwa Kama Mwanasoka Bora wa L’Equipe

0
Erling Haaland alijiunga na orodha ya wataalamu wa soka baada ya kuzawadiwa alama 10 kati ya 10 na Jarida la michezo la L'Equipe kwa hat-trick yake nzuri na kusaidia mabao mawili katika ushindi wa Manchester City wa 6-3 dhidi...
EPL: Vikwazo vya Kusajili Wachezaji wa Kigeni Kurekebishwa.

EPL: Vikwazo vya Kusajili Wachezaji wa Kigeni Kurekebishwa.

0
EPL: Vilabu vyote 20 vya Ligi Kuu ya Uingereza vimeripotiwa kuunga mkono kwa kauli moja mapendekezo ya kulegeza vikwazo juu ya uwezo wao wa kusajili wachezaji kutoka nje ya nchi, na wanaamini FA inachangamsha wazo hilo. Kwa mujibu wa The...
Foden: Hat-trick Yamuongeza Mkataba

Foden: Hat-trick Yamuongeza Mkataba

0
Phil Foden anaripotiwa kusaini mkataba mpya na Man City mapema wiki hii, baada ya kuonesha mchezo mzuri kwenye mechi yao ya dabi kwa kufunga hat-trick yake nzuri na ya kwanza dhidi ya Manchester United. Foden alizidi kuwa shujaa akiwa City...
Meridian: UCL Inaendelea Kamata Ratiba Yenye Odds Kubwa za Ushindi

Meridian: UCL Inaendelea Kamata Ratiba Yenye Odds Kubwa za Ushindi

0
Meridian: Baada ya Ligi nyingi kusimama sasa moto unaendelea tena wiki hii, ni Ligi ya Mabingwa Ulaya moto ni mkali kila timu inataka kuonesha ubabe kwa mwenzake, Na wewe una nafasi ya kuonesha ubabe wako kwa kuweka ubashiri kwenye...

Kwa Kupiga *149*10# Ruvu & Yanga Wanakupa Mkwanja

0
Baada ya kushuhudia mechi nyingi zikicheza na zikiwa na ODDS nono wikiendi hii, Leo hii mzigo upo tena ambapo ukiwa na Meridianbet USSD unaweza kubashiri mechi utakazo na kujishindia pesa. Ruvu uso kwa uso na Yanga.   Ruvu Shooting anamualika Yanga...

Juventus Yapunguza Presha Kwa Allegri

0
Klabu ya Juventus ya Italia imempunguzia presha kocha wao Massimiliano Allegri  baada ya ushindi wa jana wa mabao 3-0 dhidi ya Bologna wakiwa nyumbani kwao, huku mabao hayo yakitupiwa kimyani Filip Kostic, Dusan Vlahovic na Arkadiusz Milik.   Kuelekea mechi hiyo...
Ni Rahisi Kushinda Kwenye Slot Mashine

Ni Rahisi Kushinda Kwenye Slot Mashine

0
Slot: Huu ni mchezo mpya na wa kisasa zaidi wa kasino, ambao unakupa uhuru wa kucheza ukiwa na kiwango ckidogo cha pesa. Unaweza kuweka kuanzia shilingi elfu moja kwa keshia na kisha atakupa Credit zenye thamani ya pesa zake, kwa...
Rooney Ataja Goli Lake Bora

Rooney Ataja Goli Lake Bora

0
Wayne Rooney amekiri kuwa goli lake dhidi ya Manchester City mwaka 2011 halikuwa bao bora katika maisha yake ya soka. Nahodha huyo wa zamani wa England alisema alikuwa 'mbaya' kwenye mchezo huo, na akataja goli lake dhidi ya Newcastle mwaka...
Martin Keown Akerwa na Rio Ferdinand

Martin Keown Akerwa na Rio Ferdinand

0
Gwiji wa Arsenal Martin Keown hakufurahishwa na ufichuzi wa Rio Ferdinand kuhusu mazungumzo ya Sir Alex Ferguson na Manchester United. Mapema wiki hii, aliyekuwa nyota wa Manchester United Ferdinand alifichua kwamba Ferguson aliwahi kuwaita wachezaji wa Arsenal 'watoto' wakati wa...

MOST COMMENTED

Solskjaer Out – Mashabiki wa Manchester United

0
Mzimu mbaya umeendelea kumuandama Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer baada ya kushuhudia timu yake ikiambulia kichapo cha mabao 4-1 dhidi ya Watford...

HOT NEWS