Mwandishi wa habari wa Uhispania ameomba msamaha baada ya kumlinganisha Ansu Fati wa Barcelona na mchuuzi mweusi wa barabarani kwenye mechi iliyowapa ushindi wa 5-1 wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Ferencvaros.
Fati, 17, alifunga mabao kwenye mechi ya Jumanne na aliungwa mkono na mwenzake Antoine Griezmann kwenye mtandao wa Twitter.
Griezmann alisema: “Ansu ni kijana wa kipekee anayestahili heshima kama binadamu yeyote. napinga ubaguzi wa rangi.”
Fati ni mchezaji wa kwanza wa chini ya miaka 18 kushinda magoli mawili ya Champions League
Ripoti ya mechi ya Salvador Sostres katika gazeti la Uhispania ABC ilimfananisha winga wa Uhispania na “mchuuzi mweusi wa barabarani” ambaye “unamuona ghafla akikimbia” polisi wanapowasili.
Katika ombi la msamaha lililochapishwa na ABC mnamo Alhamisi, Sostres alisema kwamba alikuwa akijaribu “kusifu uzuri wa harakati za Ansu” na alikuwa “na aliomba radhi kwa namna alivyoeleweka vibaya.
Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.
aisha
Duuh mwandishi sawa kwa umeshaomba msamaha lakini sio powa kabisa
Caroline
Usirudie tenaa
Mwajumah
Duuh sio poa mwandishi ila umefanya vizuri kuomba radhi
Sauda
Siyo poa mwandishi.
Lydia Emmanuel Magoti
Duu sio poa kumfananisha mtu namtu mwingine ikokitendo usiludie mwandishi
Dorophina
Huo ndo ubaguzi wa rangi mwandishi aliouonesha unapingwa vikali
Khadija
Mwandishi hana wazimu sana anamfananishaje mtu na mchuz mweus
magdalena
mwandishi ulikoseaa sana fati yupo vizuri sana na anakoelekea atakuwa mbali sana kimpira
Adelta
Asante kwa taarifa
Tatu
Ubaguzi wa rangi awezi kuisha
Latifa juma mohamed
Huyu mwandishi sio poa anaonyesha dhahiri ubaguzi wa rangi ,kwann amfananishe na mchuzi mweusi,ht km ameomba radhi.
Antony Luseno
Bora alivyoomba radhi lakini atua ilibidi ichukuliwe kwake
Neema
Asamehewe tu kakiri kosa
Fatina mfingi
Duuuh
Hopemwaikuka
Sio vzur kwakua kaomba msamaha bas asamehewe tu
Povel
Ansu fati tegemeo jipya ndani ya nou camp
Angelina
Huyo mwandishi achukuliwe hatua huo ni udhalilishaji
Fatuma kasomo
Duh sio Poa
Hidaya
Vizuri amejua kosa lake
Mwanahamisi
Duuh sio poa
Issa
Blm ni tatizo kwenye soka
Janeflora malisa
Msamaha muhim ila alikuwa akisem kwa kipind yupo na hasir au neno lilimtok kama kapatwa chafyaa
Saupha mohamed
Duuuu atalli
Theonestina
Duuuh
Elika
Kwa nn anafanya hivyo lakini
Saupha mohamed
Duuu noma
Sabrina
Duuh hatari sana hiyo
warda
Mie kanifurahisha kwa kujishusha tu
Tahiya
Iyo siyo sawa kabisa sijui wataacha lini ubaguzi wa rangi