Mshambuliaji wa PSG Kylian Mbappe alipata adhabu kufungiwa mchezo wa Ligue 1 baada ya kuonyeshwa kadi ya njano na sheria ya FIFA inasema kwamba adhabu hiyo itachukuliwa kwenye LaLiga Santander kama atahama msimu huu wa joto na atakosa mchezo mmoja.

Bado haijajulikana kama Mbappe atasalia Ufaransa na PSG au ataondoka kujiunga na Real Madrid ingawa tetesi zinadai tayari amefanya makubaliano binafsi na mabingwa wa LaLiga na atatangazwa baada ya fainali ya Ligi ya Mabingwa.

Katika dakika chache za mwisho za mechi ambayo mabingwa hao wa Ufaransa walishinda kwa ushindi mnono wa (4-0), huku Mbappe akifunga bao, mshambuliaji huyo alipata kadi ya njano.

Adhabu hiyo ambayo imethibitishwa na Shirikisho la Soka la Ufaransa, itaanza kutekelezwa kuanzia wiki ijayo iwe atasalia au atahama.

Kwa maneno mengine, haitamzuia mchezaji huyo kushiriki mechi ya wikiendi hii kati ya PSG na Metz kwenye Uwanja wa Parc des Princes, kwa kile ambacho kinaweza kuwa ni kuiaga klabu hiyo ya Paris.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa