Ancelotti ana Kesi ya Kujibu Spain

Kocha wa Everton, Carlo Ancelotti ameshatakiwa na wanasheria wa Spain kwa kukwepa kodi ya 1m euros (£904,000).

Mashtaka hayo ya kodi yanahusu mapato ya haki za picha wakati akiwa kocha wa Real Madrid 2014-15.

Ofisi ya Mwanasheria ya Madrid imesema kocha huyo Muitaliano amekwepa kodi ya serikali kwa kukusudia.

Ancelotti bado hajajibu tuhuma hizo na Everton wamesema hawana cha kusema kuhusu tuhuma hizo.

The Toffees wamecheza mechi yao ya kwanza tangu Premier League irejee dhidi ya Liverpool Jumapili na kumalizika kwa sare 0-0 pale Goodison Park.

Ancelotti, aliichukua klabu ya Merseyside mwaka 2019 baada ya mwaka mmoja akiwa Serie A kwa Napoli.

55 Komentara

    Alipe faini hiyo kukwepa kodi unaipa hasara taifa

    Jibu

    Kwel wenzetu wanasheria Kali sana maana ukiangalia picha za mwaka 2014 /15 ambazo ancelotti alipiga ila bado still kesi inaendelea kwa kocha huyu licha kutokuwepo clubun

    Jibu

    Ancelotti anatakiwa ajibu kesi na pia alipe deni analo daiwa hivi kwa nini watu wakubwa wenye fedha zao wanakwepa sana kodo inabidi viongizi waangalie kwa jicho la tatu kukomesha hali hiyo

    Jibu

    Alipe tu faini! Maana kocha mkubwa kama wewe udhalilishwa sio poA.

    Jibu

    Ingekua vizuri izo Sheria zikazingatiwa kwa umakini na huku hata Kama ipite mda gani still Deni utalilipa Safi sana

    Jibu

    hili swala kodi spain inabidi walifanyie reform maana haiwezekani kila mtu awe anakwepa messi ni mmoja wa wahanga

    Jibu

    Sheria ifuate mkondo wake hapo thnks meridian bet kwa information

    Jibu

    Alipe tu faini yaishe

    Jibu

    Kwa spain issue ya kodi sishangai,wengi wa wanasoka wanakutana na msaala huu, alikuwa Mouriho, Messi ,Ronaldo na sasa tunasikia Alosnso na Ancelotti. Inaonekana kuna mianya ya kukwepa kodi inayotakiwa kuzibwa#meridianbettz

    Jibu

    Alipe hiyo faini kwani alijua kabisa kutokulipa kodi ni kosa kisheria

    Jibu

    Vitu vingine bhana watu wanajitafutiaga mafaini ya lazima. Apambane na hali yake

    Jibu

    Jamaa anachezea serikali yani angekua bongo uyo mzee magufuli angeshamtumbua tena bahati yake yuko huko wewe hapana chezea pato la nchii lipa tu hiyo kodi mzee baba acha kiswahili

    Jibu

    Hii kali, Miaka yote hiyoo leo ndo wanasema maswala ya kukwepa kodi!!!???

    Jibu

    Duh hatar

    Jibu

    Wanasheria watende haki tu

    Jibu

    Dah kumbe mpka ulaya watu wanakwepa kodi mimi nikajua hapa bongo ndio wabishi haya bhana kazi kwake ancelot lipa kodi wwe

    Jibu

    Alipishwe faini ili iwefundisho kwawengine

    Jibu

    Maoni:Kocha Carlo Ancelotti inabidi ajibu tuhuma zinazomkabili dhidi ya tuhuma zinazomkabili ya kuto kulipa kodi ya mapato ya picha alipokua kocha wa Rear madrid 2014-15 la sivyo sheria itafuata mkondo wake

    Jibu

    Awajibike tu

    Jibu

    Wahispen washaanza kumzingua kocha wa watu

    Jibu

    Imekuwa kama katabia kwa baadhi ya wanamichezo na watu maaruf uko ulaya kukwep kodi sijui ni nini tatizo

    Jibu

    Alipishwe tu fain

    Jibu

    Alipishwe tu

    Jibu

    Alipe kodi huyo asiwe mjanja .

    Jibu

    Sheria ifuate mkondo wake alipe Kodi uyo

    Jibu

    Adhabu Kali apewe iwe fundisho kwa wengine..

    Jibu

    Shria ifuate mkondo wake

    Jibu

    Hapo sheria utumike tuu

    Jibu

    Bora awajubiketu

    Jibu

    Duh nouma Sana hii lakini Carlo anellcot inabidi tu ashitakiwe kwa kosa hili sheria inabidi ifate mkondo wake

    Jibu

    Pole yake jamani#Meridianbettz

    Jibu

    Kulipa Kodi muhimu ili kuonyesha uzalendo

    Jibu

    Timiza wajibu wako, uishi kwa amani ache sheria ifuate mkondo wake

    Jibu

    Duu kafanya nn Babu wawatu zoluba gani lililomkuta mzee huyo

    Jibu

    Duuuuh hatari amekosea nn tena mzee

    Jibu

    duh hatari mpk uko kuna wakwepaji wa kulipa Kodi.. mm nilikua bongo tu ndo tuna ayo mambo

    Jibu

    Aisee pole sana iyo case sio ndogo

    Jibu

    Asante meridianbet #kwa taarifa

    Jibu

    Awajibike kisheria

    Jibu

    Alipe kodi tu lasiivyo sheria ifuate mkondo wake

    Jibu

    Awajibike kisheria

    Jibu

    Afungwe tu.

    Jibu

    Hivi ni kwann wanakwepa kodi wakati wanajua wanajulikana sana?

    Jibu

    Alipe tu fain yaishe na iwe fundisho

    Jibu

    Alipe tu faini yaishe

    Jibu

    Messi ,Ronaldo na sasa tunasikia Alosnso na Ancelotti. Inaonekana kuna mianya ya kukwepa kodi inayotakiwa kuzibwa#meridianbettz

    Jibu

    Maoni:Awajibishwe kwakosa alilofanya

    Jibu

    Duuuh atar Sana

    Jibu

    Hadi wazungu wanakwepa kodi hiyo ni hatari sasa…apewe faini na kodi alipe

    Jibu

    Sheria ifate mkondo wake#meridianbettz

    Jibu

    Asantee kwa taalifa mzurii

    Jibu

    Alipe faini

    Jibu

    Alipe tuu faini

    Jibu

    Awajibishwe

    Jibu

    Ahsante kwa taarifa

    Jibu

Acha ujumbe