Andre Wisdom Alazwa hospitali Baada Ya Kuvamiwa na Kujeruhiwa.

Mlinzi wa Timu ya Derby County Andre Wisdom yupo hospitali baada ya kujeruhiwa na waharifu.

Vyombo vya habari vimeripoti siku ya Jumatatu mchezaji wa zamani wa Liverpool alivamiwa na kupigwa wakati alipokwenda kuitembelea familia yake katika maeneo ya Toxteth baada ya Derby kushinda kwa magoli 2-1 dhidi ya Reading siku ya Jumamosi  katika mashindano ya Championship.

Derby baadaye walithibitisha kwamba Wisdom aliyekuwa amevamiwa na waharifu kwamba yupo  hospitali alikuwa  akiendelea vizuri.

“Derby County Football Club wanathibitisha kwamba Andre Wisdom ni majeruhi katika tukio la kiarifu lililompata,” ujumbe ulisomeka kama hivyo.

“Alipata majeraha ambayo yalimpelekea kupelekwa hospitali, ambako anaendelea vizuri na hali mpaka sasa.”

Polisi wa Merseyside wanaendelea na uchunguzi wa tukio lote na klabu itaendelea kumsaidia Andre na familia yake. Kwa hiyo hatuwezi kuongeza neno Zaidi   kwa muda huu.

Wisdom alikuwa yupo nyumbani kwake Mersyside siku ya Juma mosi kufuatia ushindi wa 2-1  dhidi ya Reading ndugu walimpigia simu.

Ilimbidi andeshe gari mpaka maeneo ya Toxteth/Wavetree maeneo ya Liverpool baadaye usiku alikwenda kuwachukua ndugu lakini alipo shuka kwenye gari lake alivamiwa mtaani na mtu aliye kuwa na kisu alimpiga mara mbili na baadaye kumkaba.

Alipelekwa hospitali ambako anaendelea na matibabu lakini taarifa zilizopo hali yake inaendelea vizuri  na anatarajia kuruhusiwa kurudi nyumbani mwisho wa wiki hii. Lakini ataukosa mchezo wa Jumatano pia kuna uwezekano akakosa mchezo wa “Derby” dhidi ya Nottingham.

49 Komentara

    Duh pole sana kwa kuvamiwa wisdom

    Jibu

    Pole yake waliofanya hilo tukio hilo wapewe adhabu kali wakibainika

    Jibu

    Daa! Habari kwa wadau wa soka .#meridianbettz

    Jibu

    Duu pole sana

    Jibu

    Dah pole sana Andrew wisdom kwa kuvamiwa na waarifu Mungu atakufanyia wepesi upone kwa kuwa kesi ipo mikononi mwa polisi waarifu watapatikana na watapatiwa adhabu juu ya tukio hilo na ndugu yetu ulivyo mweusi na ubaguzi wa rangi uko ulipo noma sizani kama ishu itafanikiwa kwa umakini labda tukio afanye ngozi kama yako ila kama ngozi nyeupe Dah itakuwa inshu ila pole kaka

    Jibu

    Pole sana Andre wisdom,🙏 mwenyez MUNGU amsaidie akupe nguvu na afya njema

    Jibu

    Jamani pole yake#Meridianbettz

    Jibu

    Maoni:Andrew wisdom pole kwa kuvamiwa mungu akuponye

    Jibu

    Pole yake soon atakaa sawa tuu

    Jibu

    Haya mambo ya wachezajj kuvamiwa mbona yanajirudia rudia huko barani ulaya inapaswa wawekewe ulinzi wa kutosha

    Jibu

    Pole sana.

    Jibu

    Pole sana kwake

    Jibu

    Daah pole sana Andre mungu atamfanyia wepesi atapona

    Jibu

    Duuh pole yake mungu ampe afya njema kwa nchin uingereza matukio km hayo n ya kawaida sana si hasara n mashabiki wa timu pinzan hao waliofanya hvyo

    Jibu

    Get well soon 🙏🏼🙏 BLACK 👊 lives matter

    Jibu

    pole sana

    Jibu

    Pole sana kaka utapona tuu

    Jibu

    sad news mungu atamponya

    Jibu

    Pole sana mungu akupe unafuu urudi katika mchezo na vyombo vya sheria vifanye kazi yake kudhibiti uhalifu

    Jibu

    Pole yake jamani

    Jibu

    Pole mwaya

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Jamni pole sanaa

    Jibu

    Duuh pole sana kwake

    Jibu

    Polee sana mungu akusimamie

    Jibu

    Vibaka ni shidah nyingine pole sana

    Jibu

    Pole sana Andre

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Oh pole jamani
    Recover very soon

    Jibu

    Pole yake Andre mungu atamsaidia atakaa sawa

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Pole sana adre

    Jibu

    Pole sana#meridianbettz

    Jibu

    Dah hii sio poa ukiwa maarufu shida ndo hyo kuwindwa

    Jibu

    sad news

    Jibu

    Mambo ya uswahilini Tandale kwa Tumbo , Temeke Mikoroshini, Keko Mwanga, Vingunguti kumbe Ulaya yapo! Hivi krbn Dele Alli alivamiwa na wahalifu na kumupora vitu#meridianbettz

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Mungu ansimamie

    Jibu

    Pole

    Jibu

    kumbe Ulaya mambo Kama haya yapo! Hivi krbn Dele Alli alivamiwa na wahalifu waka mpora vitu#meridianbettz

    Jibu

    Pole yake.na tushukuru anaendelea vzr saivi.Mungu ni mwema

    Jibu

    Get well soon hope u’ll be fine

    Jibu

    Du pole Sana kumbe ata ulaya kunavibaka

    Jibu

    Dah majambaz sio pw inabid waweke gurd zakutosh majumbn mwao pesa c wanazo

    Jibu

    Pole take binaadamu sio watu hawana hata huruma

    Jibu

    Pole Sana andre

    Jibu

    Habari yakusikitisha sana

    Jibu

    Get well soon

    Jibu

Acha ujumbe