Mchezaji wa Barcelona Ansu Fati ameweka wazi kuhusu hatma yake huko Camp Nou ambapo alisema anataka kupata mafanikio mengi na miamba hao wa LaLiga.

Licha ya uvumi kwamba angeweza kuwindwa na timu nyingine, kama vile PSG, Mhispania huyo amekuwa akikuwa na kiwango cha kipekee.

Akizungumza wakati wa mahojiano na Canal+, Fati alijibu kwamba mabingwa hao wa Ligue 1 wanataka kumsajili msimu huu wa joto.

“Je, PSG wana nia ya kunisajili? Kwa kweli sijui. Haya ni mambo ambayo wakala wangu na wazazi wangu wanashughulikia,” Fati alisema.

“Tangu mwanzo niliwaambia wakala wangu na baba yangu lengo langu lilikuwa nini, ambalo lilikuwa kubaki klabuni. Kichwani mwangu natumai nitaweza kuwa na Barcelona maisha yangu yote hapa.”

Fati atakuwa akifanya mazoezi na timu ya taifa ya Uhispania siku ya Jumatatu baada ya kuwa na miaka miwili migumu akiwa na majeraha mabaya.


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa