Antoinne Griezmann Hana Mpango wa Kuondoka Barcelona.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa Antoinne Griezmann amebainisha kuwa hana nia ya kuondoka Barcelona, kwa mujibu wa LeParisien.

Griezmann mwenye umri wa miaka 29 anaonekana anahitaji zaidi ya msimu mmoja akiwa na wababe hao wa ligi ya La liga.

Kumekuwa na ripoti juu ya Griezmann kutokuwa na maelewano na kocha Setien na haswa baada ya kuingizwa katika dakika ya 90 kwenye mchezo uliopita wa Barca na klabu yake ya zamani ya Atletico juzi Jumanne.

Ni mara ya tatu katika mechi nne ambazo Griezmann anatokea benchi na kila mechi hizo Barca wanapata sare, wakati wameshinda mechi tatu ambazo Griezmann anaanza.

Tangu ajiunge na Barcelona akitokea Atletico Madrid kwa € 120m, Griezmann ameweza kufunga mabao 14 katika michezo 43 msimu huu.

Bado anaonekana ni mtu mwenye kiu ya kupata mafanikio mengi akiwa katika klabu ya Barcelona.

Barca walilazimishwa sare ya 2-2 na Atletico Madrid katika uwanja wa Camp Nou hivyo kufanya jitihada za kutetea taji la La Liga kuwa ngumu wakiwa tayari wamecheza michezo 33 na kupata pointi 70 nyuma ya Real Madrid wenye alama 71 katika michezo 32.

43 Komentara

    Akae tu Hapo Barcelona Wala hakuna Timu inamtaka #Meridianbettz

    Jibu

    Aendelee kubaki tu aitumikie Barcelona

    Jibu

    Kijana anajiweza tangu atoke Atletico Madrid ameonekana akijituma sana katika nafasi anazopewa ingawa huwa anaingia kipindi cha pili lakini tunayaona mabadiliko katika uchezaji wake kama ataendelea na jitihada zake atakufa katika viwango vizuri

    Jibu

    Habaki tuu apo Barcelona apambanenapo

    Jibu

    Atumikie timu yake tu hana jambo

    Jibu

    Abaki tu barcolona yuko vizuri

    Jibu

    habari njema kwa mashabiki wa barcelona

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa barca

    Jibu

    Kaichoka timu na sio kuleta visingizio vya kuingizwa dk 90 kwenye mechi izo kazaa…kama vp aendetu ..

    Jibu

    Abaki tu Barcelona kuangaika nako sio kuzuri

    Jibu

    Abaki tu na barcelona yake bado yupo vizuri

    Jibu

    Kila mchezaji ana ndoto za kucheza timu fulani nahisi kwake ndoto yake ilikuwa ni barca

    Jibu

    mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Baki tu Barcelona

    Jibu

    Wamuache tu aende maana popote kambi tuu

    Jibu

    Abaki tu barcelona#meridianbettz

    Jibu

    Abaki tuu hapo hapo barc ili aendelee kupiga kazi

    Jibu

    Abaki Barcelona.bado wanamuhitaji

    Jibu

    Barca imekuwa kama team ya kuua wachezaji wazuri hv siku hizi

    Jibu

    Habari njema kwa wapenzi wa Barcelona

    Jibu

    Abaki tuu barcelo

    Jibu

    Kijana bado anaitajika sana kwenye timu yake abaki tu ,Meridian sio wakuacha kabisa ,taarifa zote wanakujulisha unasubiri nini sasa

    Jibu

    Ni sehemu salama atulie tu

    Jibu

    Afanye mpango tu aondoke huenda akapata umaarufu mkubwa akiondoka kuliko kuendelea barca

    Jibu

    Grizman anaonekana kuwa na mapenzi na timu hiyo ya barca pia nimchezi mzuri sana na hakutakiwa kuingizwa dakika ya 90 hili pia linaonekana kuwa wanatatizo klna kocha wake satien,pia kocha huyo wa barca anafanya game inakuwa ngumu na kuwa nyuma dhidi ya wapinzani wao real madrid kwa arama moja na wakiwa na mchezo mmoja mkononi

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Bado anaonekana ni mtu mwenye kiu ya kupata mafanikio mengi akiwa katika klabu ya Barcelona.

    Jibu

    Griezman n mchezaji mzur sana hivyo aangalie maslai na dau la club ambayo inamhitaji akubali kuondoka

    Jibu

    Baki tu hapo uchukue vikombe.

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Maoni:Asante kwa taarifa

    Jibu

    Gud newz

    Jibu

    Bado ajaitendea haki Ada yake ya usajir so anamda wakuifanyia kit barca

    Jibu

    Barcelona ndio timu inayomfaa atulie hapo hapo

    Jibu

    A.grieziman pale hatoweza furukuta nchini ya kivuli cha lionel messi maana alikua neymar pale lakin alishindwa kutamba labda astaafu lionel messi ndio yeye anaweza kupata mafanikio anayo ya hitaj

    Jibu

    Aendelee kubaki aendelee kubaki Barcelona

    Jibu

    Amesha yumba Yani ashapotea Ndio maana hataki kuondoka pale wenzake watamcheka

    Jibu

    Abaki tyu

    Jibu

    abaki tu hapo hapo kijiwe cha wazee sasa hivi hiko

    Jibu

    Hana shuhuli

    Jibu

    Habari vizuri kwa mashabiki wa Barca

    Jibu

    Asalie tu

    Jibu

    Abakitu hapohapo

    Jibu

Acha ujumbe