Aulas: Timu Kubwa 3 Zinamtaka Aouar.

Rais wa klabu ya Lyon Jean-Michel Aulas amesema kwamba vilabu vikubwa vitatu vimevutiwa kumsaini kiungo Houssem Aouar.

Arsenal imeonesha kumuhitaji nyota huyo wa Lyon, ingawa klabu hiyo ya Premier League bado haijakubali ada ya uhamisho ambayo Lyon wanaitaka kitita cha £55m (€60m).

Telefoot iliripoti siku ya Ijumaa kwamba Aouar amefanya mazungumzo binafsi na kukubaliana na Arsenal ambao wana ripotiwa kuwa tayari kulipa kiasi cha £36m (€40m) kwa kiungo huyo mwenye miaka 22.

Aulas: Timu Kubwa 3 Zinamtaka Aouar.
 Houssem Aouar.

Lakini pia Aouar amekuwa akihusishwa na Manchester City, Chelsea na Paris Saint-Germain baada ya kuwa na kumbukumbu nzuri akiwa Lyon msimu uliyopita 2019-20 ambapo walifanikiwa kufika nusu fainali ya Champions League.

“tunajua vilabu vikubwa vitatu,viwili kwa kipindi kifupi na kimoja kwa kipindi cha kati – vimeonesha nia ya kusaini Houssem,” Aoulas aliwaambia maripota siku ya Jumatano alipoulizwa kuhusu Aouar baada ya ujio wa Lucas Paqueta akitokea Milan.

“vyote ni vilabu vikubwa, vyote vilikuwa vinashiriki Champions League na vilikuwa na katika viwango vizuri. Mazungumzo ni magumu kuhusu swala la dau vilabu vimekuwa vikikataa kiasi tunachotaka.

Lyon imekuwa ikipambana kuwa katika fomu tangu msimu 2020-21 uanze imefanikiwa kushinda mchezo mmoja pekee katika michezo mitano ya Ligue 1.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

37 Komentara

    timu kubwa lazima zomlilie kwa ufundi wake alokuwa nao awapo uwanjani

    Jibu

    Ukiona hivyo Ni kijana makini sana

    Jibu

    Yuko vizuri lazima wavutiwe nae, kizuri kinajiuza

    Jibu

    Aouar akienda arsenal itakuwa poa sana

    Jibu

    Lazima wavutiwe nae kwani kijana anajua sana na yupo makini uwanjani

    Jibu

    Yuko vizuri sana

    Jibu

    Kijan anaoneka yuko vizur sana

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Aouar yupo vizuri

    Jibu

    Kijana yupo vizuri nyota ime muwakia

    Jibu

    Aouar anajua anachokifanya katika game

    Jibu

    Habari njema inaonekana yupo vizuri

    Jibu

    Vizur sana

    Jibu

    Habari njema anaonekana yupo vzr

    Jibu

    Arsenal wanachungulia sana mkwanja

    Jibu

    Inaonyesha yuko fitii kijana huyo

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    Arsenal wagumu kwenye hela kama nini

    Jibu

    Anaonekana yupo makin sana

    Jibu

    Yupo fit

    Jibu

    Auoar yuko vizuri

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Good

    Jibu

    Jamaa yupo vizuri

    Jibu

    Kama vipi aende Chelsea

    Jibu

    tatizo la arsenal wanachungulia mfuko

    Jibu

    Pesa ndio Kila kitu hapo!!!

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Lazima wavutiwe nae kwani kijana anajua sana na yupo makini uwanjani

    Jibu

    aangalie sehemu ambayo ataenda kuendeleza kipaji chacke na maslah pia

    Jibu

    Aouar ni jembe

    Jibu

    Uchumi umepolomoka sana toka janga la korona liingie clabu yingi zimekua zikitamani sin yake ila ndio hivyo tena ali ya uchumi imekua gumzo kidogo

    Jibu

    Kipaj kinaongea

    Jibu

    Chelsea au city Wana nafasi kubwa sana ya kumsajil Aourar kwny kugombania sain ya nyota huyo

    Jibu

    Aulas amekua mchezaji mwenye kufaham
    Kaz yake

    Jibu

    kijana anajua sana na yupo makini uwanjan

    Jibu

    Gud

    Jibu

Acha ujumbe