Barcelona Yaipiku Bayern Munich Kumnasa Dest.

Barcelona wamekamilisha usajili wa beki wa kulia Sergino Dest akitokea klabu ya Ajax kwa dau la €21m.

Dest mwenye umri wa miaka 19 amepata umaarufu katika ligi ya Eredivisie msimu 2019-20 , kwa kuisadia timu ya Ajax kumaliza nafasi ya kwanza kabla ya ligi hiyo kukatishwa kufuatia kuzuka kwa janga la virusi vya Corona.

Kiwango hicho kilipelekea timu mbalimbali zikiwemo Barcelona na Bayern Munich kuhitaji huduma ya beki huyo wakati huu wa dirisha la usajili.

Mara ya kwanza Bayern walionekana kuwa katika mazungumzo makubwa na Ajax, na ripoti zikidai kwamba Bavaria hawajafikia makubaliano na Ajax wala Dest.

Barcelona Yaipiku Bayern Munich Kumnasa Dest.
Mchezaji Sergino Dest.

Lakini Barcelona wamefanikiwa kumnasa kinda huyo kwa dau la €21m (£19m/$25m) dau kubwa kuliko lile la Bayern Munich.

Taarifa kutoka kwa miamba ya LaLiga kupitia tovuti rasmi ya klabu: ” FC Barcelona na Ajax wamefikia makubaliano ya uhamisho wa Sergino Dest.

“Mchezaji atasaini tena mkataba baada ya misimu mitano, mwishoni mwa msimu 2024-25.

“Sergino Dest ana viwango vyote vinavyohitajika katika safu ya ulinzi: Anashambullia inapohitajika ni mtu mwenye ubunifu.

Dest ametua Camp Nou kuziba nafasi iliyoachwa na beki wa kulia Semedo ambaye ametimkia katika klabu ya Wolves.

Dest ni mzaliwa wa Uholanzi lakini ameamua kufuata Upande wa baba yake U.S.A na aliiwakilisha United State, U-17 na U-20 kabla hajacheza mchezo wake wa kwanza na timu ya wakubwa Setemba 2019 dhidi ya Mexico.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

43 Komentara

    barcelona naona wanataka kujenga kikosi chao vyema ili waweze kurudisha ubora wao kama zamani

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Pongezi kwao Barcelona kumnasa jembe huyo

    Jibu

    Kila lakheri dogo kapige kazi

    Jibu

    Hongera kwa Barcelona

    Jibu

    Ajax klabu bora yenye vipaji vingi vya vijana wenye umri mdogo natumaini watanyakua wachezaji wengi kutoka Ajax

    Jibu

    Naona barca wako vizur kwenye upande wa usajiri tu..

    Jibu

    Pongez kwa Barcelona

    Jibu

    Barcelona pongezi kwenu

    Jibu

    Hongereni sana Barcelona

    Jibu

    saf

    Jibu

    Hongera Barcelona kwa kupata saini ya Dest

    Jibu

    dogo piga kazi

    Jibu

    Pongezi kwa Barcelona

    Jibu

    Barcelona wamewapg bao la kisigino

    Jibu

    Barcelona safiii

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Good news 👍

    Jibu

    Jamani mwenyepesa si mwenzako hongereni barcelona#meridianbett

    Jibu

    Safi sana barca

    Jibu

    Good Barcelona

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Sergino Dest ana viwango vyote vinavyohitajika katika safu ya ulinzi: Anashambullia inapohitajika ni mtu mwenye ubunifu.

    Jibu

    hongera zao

    Jibu

    asante Kwa taarifa

    Jibu

    Dogo anatisha.

    Jibu

    Natumaini ataitoa barcelona hapo ilipo na kuwapeleka ngazi ya juu sana.

    Jibu

    Pongezi kwenu

    Jibu

    Tunasubiri kuona kama Dest ataendeleza uimara wake kunako Spain au nae ni majanga tuu

    Jibu

    Dest hatawafaa sana Barcelona maana barc wanaitaji wachezaji wenye uwenzo ili kukamilisha kikosi chao

    Jibu

    Dest ni noma ya wachezaj wazur Sana kwny kikos cha Ajax natumain atakuwep namwendelezo mzuri hata kwny timu ya me mpya ya Barcelona

    Jibu

    Dest ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Barcelona itakuwa moto wa kuotea mbali

    Jibu

    Mwenye kisu kikar kala nyama

    Jibu

    Barcelona safi

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Ukiwa sokoni haitakiwi kushangaa.

    Jibu

    Barca kumpata dest ni vizur

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Hongera kwa Barcelona

    Jibu

    Safii

    Jibu

    barca wako vizur kwenye upande wa usajiri tu..

    Jibu

    Safiiiii

    Jibu

Acha ujumbe