Barcelona Yapokea Kipigo kwa Real Madrid

Barcelona imekubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya wapinzani wao wakubwa Real Madrid katika mchezo wa La Liga maarufu kama El Clasico.

Ni Karim Benzema alianza kutikisa nyavu za Barcelona ikiwa na mshambuliaji wao namba moja Lionel Messi dakika ya 13 na bao la pili lilifungwa na Toni Kroos dk ya 28 na kuwafanya waende mapumziko wakiongoza.

Barcelona

Barcelona ilipata bao la kufuta machozi dakika ya 60 kupitia kwa Oscar Mingueza ilikuwa ni Uwanja wa Alfredo Di Stefano ambapo nyota wa Real Madrid Casemiro alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 90.

Barcelona

Ushindi huo unaifanya Madrid kufikisha alama 66 ikiwa nafasi ya kwanza na Barcelona nafasi ya tatu ilibaki na pointi 65 zote zimecheza mechi 30.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

CHEZA HAPA

4 Komentara

    Nilifurahi sana

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Pole Sana Barcelona

    Jibu

    Barcelona mjitahid kukaza buti

    Jibu

Acha ujumbe