Beckham: Kucheza na Mbappe Ingekuwa ni Ndoto.

David Beckham anasema kucheza na Kylian Mbappe “ingekuwa ndoto” baada ya supastaa huyo wa Paris Saint-Germain kupachika bao lake la 100 kwa klabu.
Beckham: Kucheza na Mbappe Ingekuwa ni Ndoto.
Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe akifurahia goli lake la 100.

 

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21, aliyejiunga na PSG kutoka kwa wapinzani wao wa nyumbani Monaco mwezi Agosti 2017, alifikia hatua hiyo kwenye mchezo dhidi ya Montpellier siku ya Jumamosi.

Amefikisha magoli karne katika ya michezo 137 tu na rekodi nyingi zaidi zitafuata kwa mshindi wa Kombe la Dunia.

Beckham, ambaye alimaliza taaluma yake katika klabu ya PSG mwaka 2013, anatamani angekuwa bado anacheza na kuweza kumsaidia Mbappe kufukuza mfungaji wa rekodi ya muda wote Edinson Cavani (200)

Nahodha huyo wa zamani wa England alifunga goli mbili na kutengeneza asisti sita katika michezo yake 10 ya Ligue 1 (dakika 311 alicheza), lakini Mbappe pia anaweza kuwa ameboresha takwimu zake mwenyewe.

“Ningependa bado kuwa mchezaji, kwa sababu kucheza na fowadi kama Kylian ingekuwa ndoto kwangu,” mmiliki wa Inter Miami Beckham aliiambia Telefoot.

“Unaweka mpira mahali popote mbele yake na anaupata.”

Mbappe ameweka wastani wa bao kila dakika 89 kwa PSG kwenye Ligue 1, akifunga 74 kati ya mabao yake 100 kwenye mashindano hayo.

Kulikuwa na mengine 13 kwenye Ligi ya Mabingwa, ingawa mshambuliaji huyo hajafunga katika mashindano ya Ulaya msimu huu 2020, hata wakati PSG ilifika fainali ya msimu uliopita.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

INGIA MCHEZONI

22 Komentara

    Duuh

    Jibu

    Duuh

    Jibu

    Kucheza nae mbona inawezekana

    Jibu

    Umri tu wa Beckham ndo ushaenda ila ingewezekana

    Jibu

    Kucheza nae ingewezelana

    Jibu

    Beckham anapenda sana kucheza na watu maarufu sema ndo hivyo mda ushapita

    Jibu

    Ingewezekana tu kucheza nae

    Jibu

    Mbona rais tyu

    Jibu

    Itakua poa tu

    Jibu

    Ingewezekana tuuu kwasababu mbappe anauwezo wakucheza timu yoyote hile

    Jibu

    Mbona inawezekana

    Jibu

    Inawezekana yeye tu

    Jibu

    Mbappe ni mchezaji nyota ajae baada ya Messi na CR7 kupotea kwenye soka

    Jibu

    Inawezekana mbona

    Jibu

    Dah

    Jibu

    Bekham umri umeshaenda isingewezekana

    Jibu

    Imeisha hyoo

    Jibu

    Beckham ametikisa sana enz zake na alikua kiungo muhimu sana england

    Jibu

    Beckham alikua MTU mbaya

    Jibu

    Hatari

    Jibu

    Ingependeza sana tatizo muda Beckham wakati ukuta

    Jibu

Acha ujumbe