Ben Yedder Kuikosa Nations League Sababu ya COVID-19.

Wissam Ben Yedder ameondolewa kwenye kikosi cha Ufaransa kuelekea mchezo wao wa mwisho wa makundi katika michuano ya Nations League baada ya kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Baada ya kuwa imearifiwa kuwa na maambukizi ya COVID-19 siku ya Alhamisi mshambuliaji wa Monaco Ben Yedder hatoshiriki kwenye mazoezi na tayari amejitenga ilikuepuka maambukizi zaidi.

Ben Yedder Kuikosa Nations League Sababu ya COVID-19.

Ufaransa bado hawajaita mchezaji ambaye atachukua nafasi iliyoachwa na mchezaji huyo kulekea mchezo dhidi ya Ureno mjini Lisbon siku ya Jumamosi na mchezo ambao watakuwa nyumbani dhidi ya Sweden siku ya Jumanne.

Ben Yedder alipost kwenye Twitter: “Asanteni kwa ujumbe… ni hali ambayo haikutarajiwa lakini naiamini timu kufanya kazi nzuri, zaidi ya yote jilindeni na mjiangalie mwenyewe.”

Les Blues wana lama sawa na Portugal katika kundi A3 lakini wapo nafasi ya pili kutokana na tofauti ya magoli

Didier Deschamps atakuwa na tumaini la ushindi katika mechi hiyo baada ya kufungwa 2-0 na timu ya Finland siku ya Jumatano wakiwa na wanajiandaa na mechi za Nations League.


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

27 Komentara

    mwaka huu kutakua na mabadiliko makubwa sana kwenye upange wa ligi kutoka na janga hili la korona

    Jibu

    Ben tedder pole Sana
    Yani hii coronavirus imekuwa tishiyo kwa dunia nzima

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Corona itakuwa inakwamisha mambo mengi sana

    Jibu

    duh pole yake

    Jibu

    Pole sana hatakama hutakuwa nao lakini kwa ujumbe ulio wapa wachezaji wenzako au kikosi chako ninaimani kama watafanya vizuri zaidi

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Pol

    Jibu

    Corona ituache kidogo

    Jibu

    huu ugonjwa ndo unaosababisha viwango vingi vya wachezaji wngi kushuka

    Jibu

    Mungu atamsaidia

    Jibu

    Pole yake ben

    Jibu

    Mungu wangu pole yake

    Jibu

    Maisha yataanza kuwa ya kawaida pale chanjo ya covid19 itakapopatikana mwanzoni mwa mwaka ujao 2021

    Jibu

    Duuh pole yake

    Jibu

    Duu pole yake

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Covid ni tatizo kubwa kwenye soka

    Jibu

    Jamani ugua pole

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Get well soon

    Jibu

    Covid imekua tatizo kubwa michezon

    Jibu

    Hii corona ituache Sasa tufanye yetu

    Jibu

    Polee sana

    Jibu

    Corona noma

    Jibu

    Corona inaharibu kila kitu

    Jibu

    Covid imekua ni swla linalosumbua sana kweny michezo

    Jibu

Acha ujumbe