Bronze Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Kike ya FIFA.

Lucy Bronze ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora ya Wanawake ya FIFA kwa mwaka 2020 baada ya kushinda Ligi ya Mabingwa na Lyon.

Bronze Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Kike ya FIFA.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza alikuwa wa tatu katika kuwania tuzo ya 2019 lakini ametwaa tuzo ya juu wakati huu baada ya kushinda taji la tatu la Ulaya katika msimu wake wa tatu na wa mwisho akiwa Ufaransa.

Beki wa kulia, Bronze, ambaye baadaye alirudi Manchester City, aliwashinda, Pernille Harder na Wendie Renard aliyokuwa akichuana nao.

“Wow, ni surprise gani hii kwanza kuteuliwa tu pamoja na wachezaji wengine wawili, ambao ninawajua vizuri,” alisema.

“Pernille Harder na Wendie Renard wote ni wachezaji wazuri na bora, vile vile hata kuwa karibu na wachezaji wawili wa ubora huo ni jambo la kushangaza.

“Kuishinda tuzo hii, sidhani kuwa nina maneno sasa hivi kuelezea jinsi ninavyohisi.

“Lakini ikiwa kuna kitu chochote ambacho 2020 imetufundisha, ni kufahamu kila wakati uliyonao, ni kutazama mbele tu.

Waliofuzu wote watatu walijumuishwa katika kikosi cha FIFA FIFPro11, walipigiwa kura na wachezaji wenzao.

Kikosi cha Wanawake cha FIFA FIFPro11: Christiane Endler; Millie Bright, Lucy Bronze, Wendie Renard; Barbara Bonansea, Veronica Boquete, Delphine Cascarino; Pernille Harder, Tobin Heath, Vivianne Miedema, Megan Rapinoe.


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

17 Komentara

    Good 👏👏

    Jibu

    Ongera san bronze

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Bronze amestahili hiyo tunzo

    Jibu

    Bronze anatisha

    Jibu

    hongera sn

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Hongera yake mdada

    Jibu

    vzr

    Jibu

    Good

    Jibu

    Hongera sana bronze

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    U did a gud job & congrats to u lady B

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Saf

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe