Pambano la mara ya tatu kati ya Canelo Alvarez dhidi ya Gennady Golovkin litafanyika mwezi Septemba  17 mwaka huu walitangaza siku ya Jumanne.

Ingawa kwenye mapambano yaliyopita walienda sare moja na Canelo alishinda kwa hivyo pambano la tatu la kuhitimisha litakua gumu na kali sababu linaenda kumaliza vita yao.

Canelo na GGG walianza kupigana mwaka 2017 mwezi Septemba Canelo anakuja kwenye pambano hili akiwa na maamivu ya kutoka kupoteza kwa Bivol wakati Golovkin anakuja kwenye pambano akiwa ametoka kushinda dhidi ya Mjapan Ryota Murata kwa KO.

“Ni wakati wa kumaliza kile tulichokianza na kutetea mataji yetu #CaneloGGG 17,Septemba hii. Aliandika The Tapatío kwenye mtandao wa Instagram siku ambayo tarehe ya pambano lilitangazwa.

“Nimefurahi sana kuwaletea pambano bora na hili halitakuwa tofauti,” alisema Canelo ambaye ataweka mezani mataji yake manne katika uzani wa super middle dhidi ya Golovkin ambaye kwa sasa ni bingwa wa uzani wa kati.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa