Cesc Fabregas Ageukia Ukocha, Awafwata Wakongwe Wenzie

Nyota wa zamani wa Uhispania na vilabu vya Arsenal na Barcelona Cesc Fabregas ameonyesha viashiria huenda akageukia kazi ya ukocha siku za usoni baada ya kuchapisha mfumo wa timu ambao yeye akiwa kocha kwenye mtandao wake wa twitter

Cesc Fabregas ,34,ambaye pia aliwahi kuichezea Chelsea kunako EPL kwenye chapisho hilo ameambatanisha na ujumbe wa kuwauliza mashabiki zake kile wanachokifikiria juu ya mfumo wake dhidi ya timu yenye rangi ya bluu huku yeye akijichagulia timu ya rangi nyekundu.

Cesc Fabregas
Cesc Fabregas

Baada ya chapisho hilo huenda nyota huyo ambaye kwa sasa yupo nchini Ufaransa akiichezea As Monaco watu mbalimbali wametabiri kuwa mbioni kufuata nyayo za nyota wengine walioingia katika kazi ya ukocha kwa sasa akiwemo Xavi na Gerrard (steven).


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe