Di Maria na Neymar Warejea Kikosini.

Angel Di Maria, Neymar,Leandro Paredes na Keylor Navas wamejumuishwa katika kikosi cha Paris Saint-Germain kwa mchezo wa Jumapili wa Ligue 1 dhidi ya Marseille baada ya kumaliza siku za kukaa Karantini.

Wachezaji hao waliukosa mchezo wa ufunguzi wa Ligue 1 msimu 2020-21 dhidi ya Lens mchezo ambao PSG ilipoteza kwa 1-0 siku ya Alhamisi baada ya kuwa na maambukizi ya COVID-19.

Majibu ya vipimo kwa Di Maria na wenziye

Lakini,wachezaji wote wanne wamepimwa na vipimo vilionesha hawana COVID-19 tena na kocha Thomas Tuchel kuelekea mchezo huo alisema kwamba wachezaji hao wamejumuishwa katika kikosi na watashiriki katika mazoezi.

Di Maria na Neymar Warejea Kikosini Baada.
Neymar na Di Maria

Na sasa imethibitika kwamba washambuliaji wawili Neymar na Di Maria pamoja na kiungo Paredes na golikipa Navas ambaye ni chaguo la kwanza, watakuwa sehemu ya kikosi cha PSG chenye watu 21 katika dimba Classique.

Kylian Mbappe, Mauro Icardi na Marquinhos majibu yao yalionesha bado wana COVID-19 baada ya kupimwa tena wiki iliyopita na watakosa tena mchezo wa pili wa Ligue 1.

Akiongea kabla ya mechi, Tuchel aliulizwa kwanini mchezo mmoja wa mapema katika ratiba ya Ligue 1 ulisogezwa mbele.

“Nimeshangazwa kwa mechi muhimu kama ile kuwekwa ya tatu,” Aliwambia maripota.

“Nadhani gemu kama ile ilitakiwa iwekwe Oktoba au Novemba wakati timu zote zikiwa zimepata ladha ya ligi, binafsi sijaelewa kabisa maamuzi yaliyofanywa.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

43 Komentara

    Jambo jema Kwa wapenz wa PSG

    Jibu

    Hii habari nimeipenda mno

    Jibu

    Wanyama hawa wakirudi kazini basi panachimbika Ufaransa PSG wanakua wanapata magoli mengi sana na ushindi kila mechi

    Jibu

    Bora hata warudi tu maana PSG inawaitaji kikosi kiwe imara zaidi

    Jibu

    Habari njema sana mana sasa timu inaenda kuwa mamba moja hawa ni tishio

    Jibu

    Bora kina neymer warud dimbani kikosi Cha PSG kiendelee kuimarika.

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa PSG

    Jibu

    Mambo yatakua moto sana wakali wao wanarudi!!

    Jibu

    Habari nzuri hizo#meridianbett

    Jibu

    Nimefurahi sana Di Maria na Neymar kurejea#Meridianbettz

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Bora walivyorejea waendelee kujihadhari na corona

    Jibu

    Habari njema 👍@meridianbettz

    Jibu

    Jambo zuri kwa wapenzi wa PSG

    Jibu

    Nadhani gemu kama ile ilitakiwa iwekwe Oktoba au Novemba wakati timu zote zikiwa zimepata ladha ya ligi, binafsi sijaelewa kabisa maamuzi yaliyofanywa.#meridianbet

    Jibu

    Vizur sana tunaowaona tena kwenye game

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Hii itakua nasafi nzuri ya mbappe kuuguza majereha yake akirudi kwenye gemu hatakua yupo fiti

    Jibu

    Mungu ni mwema

    Jibu

    Habari nzuri kwao kulejea kikosini kuenderea kupambana

    Jibu

    Ni Jambo zuri

    Jibu

    Ni jmbn zur

    Jibu

    vizuri

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Tuchel naona hataki wachezaji wake wakae pembeni kawajuisha wote waingie kambini

    Jibu

    Vzur wapge kaz sasa

    Jibu

    Bado mambo sio mambo kwa upande wa PSG

    Jibu

    Ni Jambo zuri

    Jibu

    PSG wanakua wanapata magoli mengi sana na ushindi kila mechi

    Jibu

    Safi sana hii inapendeza

    Jibu

    Hapa psg wametimia na kuingia kwa hawa wachezaji ni timu itakua moto

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    makal nzr

    Jibu

    Bora kina neymer warud dimbani kikosi Cha PSG kiendelee kuimarika

    Jibu

    kila la kheri

    Jibu

    Habari njema kwa PSG maana sasa klabu itachangamka maaan majamaa sio wa mchezo kabisa mechi hii dhidi ya Marseille hawatowaacha salama

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    bora wamerudi kikosini ili waendelee na mpira maana tulihisi psg imepwaya

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Hbr njema

    Jibu

    Wanyama hawa wakirudi kazini basi panachimbika Ufaransa PSG wanakua wanapata magoli mengi sana na ushindi kila mechi

    Jibu

Acha ujumbe