Diego Costa Avunja Kandarasi Yake na Atletico.

Atletico Madrid wamefikia makubaliano ya pamoja na Diego Costa kusitisha mkataba na mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Uhispania.

Diego Costa Avunja Kandarasi Yake na Atletico.

Mshambuliaji huyo wa zamani wa Chelsea Diego Costa aliwataka Atletico Madrid kumaliza mkataba mapema kutokana na sababu binafsi.

Mkataba wa mshambuliaji huyo wa zamani wa Chelsea na miamba hiyo ya La Liga ulipangwa kumalizika mwezi Juni 2021 lakini ameiomba kilabu hiyo kumaliza kukaa kwake mapema kabla kwa sababu binafsi.

Taarifa ya Atletico ilisomeka hivi siku ya Jumanne:

“Atlético de Madrid na Diego Costa wamefikia makubaliano ya kukatisha kandarasi ya mshambuliaji huyo, ambayo ingekamilika mwezi Juni 30, 2021.

“Mshambuliaji huyo aliomba kuondoka klabuni hapo kwa sababu za kibinafsi siku chache zilizopita na Jumanne alisaini kusitishwa kwa mkataba wake.

“Klabu inamshukuru Diego Costa kwa kujitolea kwake katika miaka hii na inamtakia heri katika hatua inayofuata ya taaluma yake.”


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

17 Komentara

    Maamuzi yake si mabaya

    Jibu

    Diego ni mchezaji mzuri sana anaweza akapata klabu nzuri zaid

    Jibu

    Sio mbaya nimamuzi yake yeye

    Jibu

    Maamuzi Ni yake afanye anachojisikia!!

    Jibu

    Maamuzi ni yake

    Jibu

    Sawa tu

    Jibu

    Kosta anataka kutundka daluga

    Jibu

    Kwa nini jamani

    Jibu

    Maamuzi ni yake

    Jibu

    Maamuzi niyake

    Jibu

    Kwa nn anafanya ivyo

    Jibu

    Kila la her uendako

    Jibu

    Sijapenda

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Asant kwa taarifa meridian bett

    Jibu

    Nice one

    Jibu

    Kila la kheri huko aendako

    Jibu

Acha ujumbe