Eden Hazard amecheza kwa asilimia 25 ya muda aliotarajiwa pale Real Madrid hadi sasa kwa mwaka 2022 licha ya kuwa hana jeraha tangu Mwaka Mpya, kwa muiibu wa ripoti ya Marca.

Hazard amecheza dakika 13 katika mechi tatu zilizopita za Madrid, mara yake ya mwisho kuanza ni Januari 23 dhidi ya Elche kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu. Ukweli kwamba Mbelgiji huyu na Gareth Bale ndio wachezaji wanaolipwa pesa nyingi zaidi kwenye kikosi unakuwa ukweli mchungu.

Hazard anakabiliwa na wakati mgumu katika soka lake msimu huu wa joto. Bado amebakiwa na miaka miwili kukamilisha kandarasi yake huko Madrid lakini ameshuka kiwango klabuni, huku Vinicius Junior, Marco Asensio, Rodrygo na hata Gareth Bale wakichaguliwa mara kwa mara dhidi yake. Ikiwa Kylian Mbappe atawasili hivi karibuni kama inavyotarajiwa, huu utakuwa mtihani mkubwa zaidi kwa staa huyu.


 

KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa