Manchester United ataumana na Chelsea wakati Arsenal atakutana uso kwa uso na mabingwa watetezi Man City kwenye Nusu Fainali ya FA Cup.

Droo hii inawaleta pamoja washindi 3 kati ya 4 ambao wana mafanikio zaidi, Arsenal pekee akiwa ametwaa kombe hili mara 13.

Manchester United ambao waliwapiga Norwich kutoboa nusu fainali, wamekusanya mataji 12 ya FA. Wakatiu Chelsea wakiwa na mataji 8 mkononi.

Gemu zote zimepangwa kuchezwa pale dimbani Wembley na zitafanyika Julai 18 na Julai 19, 2020. Fainali inatarajiwa kufanyika Agosti 1. Ratiba Kamili na muda wa kila mechi vitatangazwa karibuni.

Jumamosi Julai18 & 19, 2020

Arsenal VS Manchester City

Manchester United VS Chelsea

 

Manchester City
Man City wakisherekea Ushindi 2019.

 

46 MAONI

  1. Manchester united hawezi kumfunga Chelsea kwa mpangilio ambao Chelsea kwa hasaivi uko vizuri sana Chelsea wanaweza sana hata ukiangalia matokei yake

  2. Hapo mm naona hyo n kupangwa kwa fainal ya mahasimu wawili wanao toa jiji moja man United na man city hapo hakuna lingine maana Chelsea japo anafanya vzur sidhan kama atamtoa man United nusu fainal na kwa man city njia nyeupe fainal arsenal japo ndio anae shikilia rekodi ya kutwaa kombe hilo hana uwezo wa kumzuia man city kuingia fainal

  3. Itakuwa bonge la mechi kutazama Man U wakiwa na Bruno na Pogba na huku Chelsea wakiwa na Pullisic na Timo Werner#meridianbettz

  4. Litakuwa bonge la mechi maana hao wasomi wawili mtoto atumwi dukan siku hiyo maana man u kashapotea EPL hivyo hivyo na kwa Chelsea wote wanalitolea jicho kombe hilo

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa