Arsenal wapo karibu kumsaini kiungo wa Porto Fábio Vieira kwa dau linaloripotiwa kufika €35m (£30m) kwa dili ya miaka mitano.

Fábio Vieira Anajiandaa Kwaajili ya Vipimo Arsenal

Kiungo huyo mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno ambaye ana umri wa iaka 22 amekuwa pia katika rada za klabu ya Liverpool, Manchester United na Tottenhasm wakatio wa dirisha la majira ya kiangazi lakini kusaini na The Gunners inaonekana ni swala la muda tu.

Inaripotiwa siku ya Ijumaa Fabio atakuwa akifanyiwa vipimo kabla ya kusaini mkataba na Arsenal ambao watakuwa wakilipa pauni milioni 111,000 kwa mwezi sawa na £25k kwa wiki.

Fabio unakuwa usajili wa pili wa Arsenal baada ya kumsaini Marquinho akitokea Sao Paulo na dili inatarajiwa kukamilika masa kadhaa yajayo.

Kinda huyo wa Kireno amehusika katika mabao 20 kwenye michezo 27 ya Liga msimu uliyopita kwa ujumla alifunga mabao 7 na kusaidia mengine 16 kwenye michezo 39 kwenye mashindano yote.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa