FIFA Yaja na Sheria Mpya

FIFA inawasaidia wachezaji wa soka wenye uraia wa nchi zaidi ya moja kubadili kuwakilisha timu ya taifa hata kama walishaichezea nchi nyingine lakini Kuna sheria za kufuatwa – Haya ni mabadiliko ya kanuni yaliyotangazwa Jumatano.

Haya matumaini kwa wachezaji wanaostahili kuzitumikia nchi zaidi ya moja lakini waliangukia katika timu ya taifa ya kwanza ya taifa lingine, ambapo imekuwa ngumu kwa wao kuhama baada ya kucheza hata walau dakika moja tu kwenye mchezo wa ushindani.

Sheria hii mpya itawaruhusu wachezaji wabadilishe timu za Taifa kama tu wameitumikia nchi nyingine mara tatu tu katika timu ya kwanza – pamoja na michezo ya kufuzu kwa mashindano, lakini pia ni kabla ya kutimiza umri wa miaka 21, na angalau miaka mitatu kabla.

Sheria hii mpya inatarajiwa kuputishwa mwezi ujao ikiwa mashirikisho yote 211 wanachama wa FIFA yatakubali kwenye mkutano mkuu aa FIFA huko Zurich – Imechukua zaidi ya miaka miwili kuunda sheria hii mpya huko FIFA kabla ya kwenda kuwekwa mezani na kupitishwa.


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma Zaidi

30 Komentara

    sheria nzuri sana hii walioanzisha FIFA haimbani sana mtu

    Jibu

    Wamefanya vizuri FIFA itawafanya wachezaji wasikae mda mrefu taifa moja

    Jibu

    Safi Sana hii Sheria itawalinda wachezaji

    Jibu

    Safi sana huu ni uamuzi mzuri utawalinda wachezaji

    Jibu

    Sheria hii inabidi ifuatwe kwa kweli

    Jibu

    Hitakua vizuri kwa mapendekezo yake mchezaji mwenyew na hitakua mbaya kwa clabu ambazo zitakua na mapenzi na mchezaji so tumeona clabu yingi na kwa wachezaji wengi

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Good

    Jibu

    Hongera kwa FIFA kwa kuleta shelia mpya

    Jibu

    Sheria lazima ifuatwe

    Jibu

    Safi sana huu uwamuzi mzuri utawalinda wachezaji#Meridianbettz

    Jibu

    Kwangu hii sio sawa. Kama mchezaji aliwahi kuchezea nchi fulani hakuna sababu ya kutaka tena kuchezea nchi nyingine hasa ile ya asili#meridianbettz

    Jibu

    Vizuri Sana kwawamuzi wa FiFA niungozi mzuri utaowafanya Wachezaji kukaa kwenye levo nzuri

    Jibu

    Asante meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Jambo zuri kwenye Soka japo ukiangalia vizuri inaweza leta mamluki kwenye timu lakini kwa upande wa wachezaji inawapa fursa ya kufanya maamuzi

    Jibu

    Sheria ikiwemo mambo yataenda kwa mpangilio mzuri

    Jibu

    Ninzuri ikifuatwa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Sheria imekaa poa sana 👍

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Sheria zpo tu sio lazima kuzfata

    Jibu

    Congrat FIFA 👊👊👊👊

    Jibu

    Sheria nzuri

    Jibu

    Ngoja tusubili maamuzi baada ya kuwekwa mezani.

    Jibu

    Sheria hii italeta mizozo mbele ya safar!!!!

    Jibu

    Jambo zuri kwenye Soka japo ukiangalia vizuri inaweza leta mamluki kwenye timu lakini kwa upande wa wachezaji inawapa fursa ya kufanya maamuzi

    Jibu

    Sheria kabambe

    Jibu

    Nmeikubali sheria hii.

    Jibu

    Sheria msumeno hiii

    Jibu

    Haya tumezipata ziko poa

    Jibu

Acha ujumbe