Giroud Kwenye Rekodi Mpya Ufaransa.

Olivier Giroud anakaribia kuifikia rekodi ya Thierry Henry ya kupachika mabao mengi katika timu ya taifa ya baada ya kumpita Platini hiyo ni baada ya mchezo wa jana mchezo ambao Ufaransa ilishinda 7-1 dhidi ya Ukraine katika dimba la Stade de France.

Giroud alifunga magoli mawili na kufikisha magoli 42 na ulikuwa ni mchezo wake wa 100 katika timu ya Ufaransa.

Giroud Kwenye Rekodi Mpya Ufaransa.
Mshambuliaji wa Ufaransa, Olivier Giroud.

Giroud amepita mchezaji wa zamani wa timu ya France, Michel Platini na kwa sasa anakuwa nyuma ya mchezaji wa zamani wa Arsenal na Barcelona nyota Thierry Henry ambaye amefunga magoli 51 katika michezo 123.

Giroud amekuwa akitumiwa vyema na kocha Didier Deschamps na amekabidhiwa jukumu la kushambulia akiwa pamoja na washambuliaji hatari Antoine Griezmann na Kylian Mbappe.

Ni ukweli mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 alicheza michezo yote saba ya Ufaransa wakati wa kombe la dunia 2018 ukijumuishwa na ule waliyoshinda 4-2 dhidi ya Croatia lakini hakufanikiwa kufunga goli hata moja.

Ingawa hajalenga sana kufikia rekodi ya Thierry Henry, amesema anajiandaa kuweka rekodi mpya katika timu ya taifa.

“Kama kawaida najivunia,” Giroud , ambaye pia alikuwa ni nahodha wa Ufaranasa kwenye mchezo dhidi ya Ukraine, aliiambia TF1. “Ni heshima kubwa kufikisha mchezo wa 100 katika timu ya taifa na ninashukuru imetokea kama hivi.

“Sasa naendelea kuangalia mbele bila kuweka mipaka nataka kuendelea kama hivi.

“Nadhani unatakiwa ujipange kwaajili ya kufunga lakini kwa sasa ni mapema kuma hivyo acha tuangalie kama nitaweza kuvunja rekodi tutaona kama nikifikisha magoli 46 au 47.

Ufaransa watawakabili Ureno siku ya Jumapili katika muendelezo wa michuano ya Nations League.


Weka Pesa kwa Airtel Money!

Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!

Soma Zaidi

34 Komentara

    Pongezi kwake

    Jibu

    Ni jambo jema kwa wanamchezo wa Ufaransa

    Jibu

    Safi Giroud

    Jibu

    giround yupo vizuri sana

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Giroud ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Vizuri Sana Giroud

    Jibu

    Giroud yupo vizuri sana

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Giroud yupo vizuri

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Anasitahili pongezi sana

    Jibu

    Safi na pongezi nyingi kwake

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Pongez sana kwako

    Jibu

    Geroud atafk maan Amanda wakucheza

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Giround yupo vizuri

    Jibu

    vzr

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Giround yupo vizuri

    Jibu

    pongezi kwake

    Jibu

    Kazi nzuriii

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Kocha wa Ufaransa anamtendea haki sana Giroud

    Jibu

    Olivier giroud ni safi sana

    Jibu

    Congratulations GIROUD

    Jibu

    ukweli mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 alicheza michezo yote saba ya Ufaransa wakati wa kombe la dunia 2018 ukijumuishwa na ule waliyoshinda 4-2 dhidi ya Croatia lakini hakufanikiwa kufunga goli hata moja.

    Jibu

Acha ujumbe