Golikipa wa Zamani wa Liverpool na Spurs Ray Afariki Dunia.

Golikipa wa zamani wa timu ya Liverpool na Tottenham Ray Clemence amefariki akiwa na umri wa miaka 72.

Vilabu hivyo vya Premier League vimetoa taarifa kwa niaba ya familia yake kuthibitisha kufariki kwa Clemence siku ya Jumapili.

Golikipa wa Zamani wa Liverpool na Spurs Ray Afariki Dunia.
Ray Clemence

Clemence, ambaye pia aliwahi kuichezea timu ya taifa ya Uingereza alikuwa ni sehemu ya utawala wa Liverpool miaka 1970 lakini pia alifurahia maisha ya soka kuwa klabu ya Spurs kabla hajastaafu mwaka 1988.

“Kwa masikitiko makubwa, tunaandika kuwajulisha kwamba Ray Clemence ameaga dunia kwa amani siku ya Leo,” taarifa ya familia ilisema.

“Baada ya kupambana sana, kwa muda mrefu sasa amepumzika kwa amani na hakuna maumivu tena.

“Familia ingependa shukrani kwa sapoti naa upendo alioupata kwa miaka yote, alikuwa akipendwa sana nasisi kamwe ahatosahaurika kaatika maisha yetu.

Alisaini na Billy Shankly mwaka 1967, Clemence alifanikiwa kushinda mataji matano ya First Division na makombe matatu ya Ulaya akiwa na Liverpool akiitumikia kwa takribani miaka 14 akiwa Anfield.

Kisha akatumia miaka 7 kuwa na Tottenham, akashinda FA Cup 1982 na UEFA Cup 1984.

Clemence alicheza michezo 61 katika timu ya taifa ya England na kuwa mwalimu wa magolikipa wa timu ya taifa chini ya Glenn Hoddle, Kevin Keegan na Sven-Goran Eriksson.


BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

21 Komentara

    R.i.p

    Jibu

    R.I.P ray clemence

    Jibu

    R.l.p

    Jibu

    Rest well legend

    Jibu

    Duh atakumbukwa kwa mazuri yake pumzika kwa amani

    Jibu

    Mbele yako nyuma yetu kila nafsi itaonja umauti

    Jibu

    Sad news

    Jibu

    RIP RAY CLEMENCE. Alicheza chini ya Billy Shankly mwenye heshima kubwa ndani ya Viunga vya Anfield

    Jibu

    Daah mungu hamraze mahara pema peponi

    Jibu

    R.I.P

    Jibu

    R.I.p

    Jibu

    Kimwili tupo pamoja nawe legendery clemence kiroho hatupo now pumzika legendery clemence kitabu chako kimeshafunikwa katika ulimwengu wa soka

    Jibu

    Legend kaenda lakin kumbukumbu zinabak

    Jibu

    Pumzika kwa amani mzee baba

    Jibu

    R.I.P

    Jibu

    Apumzike kwa amani

    Jibu

    So sad apumzike kwa amani

    Jibu

    R.I.P

    Jibu

    R.I.P

    Jibu

    Rip

    Jibu

    R.i.p

    Jibu

Acha ujumbe