Straika wa zamani wa Ujerumani Mario Gomez amestaafu akiwa na umri wa miaka 34 baada ya kuisaidia klabu yake Stuttgart kupanda Bundesliga.
Aliisaidia timu yake kupata goli moja pekee japo walipoteza dhidi Darmstadt 98 lakini walifanikiwa kupita wakiwa nafasi ya pili.
Bingwa mara tano wa Bundesliga walimaliza nyuma ya Arminia Bielefeld wamerejea Ligi Kuu baada ya msimu mmoja kutokuwepo.
“Ni misheni yangu ya mwisho nikiwa hapa VfB,” alisema Gomez. “Nilikuwa naota kumaliza maisha yangu ya soka hapa.”
Gomez, ambaye ameshinda mechi 78 za Ujerumani kabla ya kustaafu timu ya taifa miaka miwili iliyopita, alianza maisha yake ya soka akiwa Stuttgart, Kutwaa Bundesliga mnano 2006-07, kabla hajaamia Bayern Munich, ambako alitwa Bundesliga mara mbili zaidi na Champions League mara moja.
Aliwahi kuhudumu akiwa na Fiorentina, Wolfsburg na Besiktas kabla ya kurejea Stuttgart mwaka 2017-18.
Ester mmakasa
Asante kwa makala meridianbet.
Ester jackson
Pongezi kwa kustaafu na kuwasogeza wachezaji wezako katika bundesliga
Jullie
Ni jambo jema akafanye mambo ya kijamii
Omary lukumbi
Anastahili pongez sana ni mchezaj hatar sana akija mara 3 kwenye 18 lazima atingishe nyavu za goli bora akapumzike sasa
Hope mwaikuka
Axante kwa habar
Njiku
Poa Gomez staafu bhana ulifanya mengi sana licha ya kuipandisha timu yako
Saupha mohamed
Amestaafuu kishujaa pongezi kwake
Tatu
Pongezi kwake
Janeflora malisa
Nice
felister
pongezi kwake
Magdalena
Anastahili kupongezwa kwa alichokifanya
lombo
gud news
Sadick
Ni jambo la heshima unapotangaza kustaafu baada ya kusaidia timu yako kupata mafanikio inayoyahitaji sana#meridianbettz
Hamidu
Asante kwa update za michezo#meridianbettz
Mariam mtandama
Vizur
Johnmary joel
Hongera sana kwa moyo wakujituma #meridianbett
Povel
Bye bye super Gomez tutakumbuk daima🤸🤸🤸🤸
Gabriel
Ametumikia vzur sana nafasi yake ya streka kwny mpira wa miguu by by by
# meridianbet Tanzania
Furahav
Nenda kaangalie maisha mengine.
Issa
Ni nzuri kwa kuifanyia mazuri Stuttgart na kustafu kwa heshima kubwa
Fatuma kasomo
Anastahili pongezi ni mchezaji hodari sana
nasra
Ni vzurii
Edgar
pongezi kwakwe kwa kipindi na miaka yote ambayo ametumia kucheza mpira..
Sabrina
Maoni:Hongera sana Mario Gomez kwa kustaafu ukiwa umeipandisha timu yako.
Ernest
Huyu jamaa enzi zake utasikia tuu Mario Gomez mtaalamu sana wa kucheka na nyavu
Tahiya
Gomez umri bdo lakini Yaani bado unahitajik
Samiah
Tutakkumbuka daina Gomez
Neema juma
Amefanya jambo la busara kustaafu kwa heshima kwa kuwasaidia wenzako kupanda daraja
Latifa juma mohamed
Ahsante meridianbet kwa makala bomba
tumaini
Maoni:pongezi kwake kwakuitumikia tim vyema
Caroline
Mbona kastaafu akiwa na muda mrefu
Genia Sikaluzwe
Ahsant meridian kwa habari
Zeiyana
Pongezi kwake
Dorophina
Habari nzuri ameisaidia timu vzr kuipandisha daraja
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa
Amani
jambo la heshima unapotangaza kustaafu baada ya kusaidia timu yako kupata mafanikio inayoyahitaji sana#meridianbettz
warda
Naona Bado mda wake wa kustaafu #Meridianbettz
farida ahmadi
Pongezi Sana Mario Gomez umestaafu vzr hakika utaweka historia kwny timu
Amiri Kayera
Ameaga Kwa heshima San
Salma
Pongezi sana amefanya mengi mazuri
Angelina
Ametimiza majukumu yake anastahili kupumzika
Rehema
Asante kwa taarifa
Elika
Mi jambo jema sana hilo
Shafii
Wahenga wanasema hakuna mwanzo usio kua na mwisho miaka 34 anastahili kustafu awaachie vijana sasa
isha
Hongera sana kwake kwa kustahafu
Asia Abdy
Amefanya vyema sana
Kenani
Sio mtu mzur hyu ni hatar
Samira
Alikua yupo vizuri
David Pere
Umri umenda ni Bora alivyo tundika dalugaa
Fatina mfingi
Makala nzur