Guardiola Atafanikiwa Kumshawishi Garcia?

Nyota wa Manchester City, Eric Garcia tayari alishaweka wazi kuwa anataka kuondoka klabuni hapo. Lakini meneja Pep Guardiola anaamini kuwa yeye na klabu wanaweza kumshawishi nyota huyu kusalia klabuni hapo.

Nyota huyu ambaye ana umri wa miaka 19, mwezi Agosti aliwaambia klabu ya Manchester City kuwa hatarajii kuongeza mkataba, na mkataba wake wa sasa unaisha Juni 2021, amebakiza miezi kadhaa tu kwenye mkataba wake.

Guardiola Atafanikiwa Kumshawishi Garcia?
Guardiola & Eric Garcia

Nyota huyu anatarajiwa kuwa atarejea Barcelona, klabu ambayo alikulia kwenye akademi yake kabla ya kuungana na Manchester City mwaka 2017.

Lakini wakati Guardiola akielezea sababu za kumuanzisha kwenye kikosi cha kwanza kinda huyu, aliweka wazi matarajio yake kuwa klabu inaweza kumshawishi staa huyu kuongeza mkataba na kusalia klabuni hapo.

“Nina furaha sana. Nafahamu alikuwa anataka kuondoka lakini atasalia na pengine tutamshawishi kuongeza mkataba mwaka huu ili asalie na sisi. Ni mtu ambaye hatetereki kwenye mambo mengi, tunafurahi sana” -Pep Guardiola

 

Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.

Soma Zaidi

29 Komentara

    Guardiola anaweza kumshawishi endapo mawazo yake mwenyewe na sio kumfosi

    Jibu

    Uwamuz ni wake

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Uwamuzi anao yy mwenyew kuondoka ama kusalia kwenye clabu iyo

    Jibu

    garcia maamuzi anayo yeye kubaki au kusepa

    Jibu

    Garcia akiamua lake anafanya bila kushawishiwa na mtu yoyote

    Jibu

    Fanya maamuzi ambayo ww utaona Ni mazuri

    Jibu

    Hinawezekana kwanini ashindwe mipango tuu ikikaa sawa anaweza asichomoke hapo City ila jembe akikaza apo Guardiola anajipya Kwa Garcia

    Jibu

    Maamuzi ni yake

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Uwezo wa kumshawishi anao kama anania kweli ya kutaka kuendelea kubaki nae klabuni watafute njia mbadala

    Jibu

    Maamuzi ni yake

    Jibu

    Kila mtu nA maamuz yake

    Jibu

    Hawezi

    Jibu

    Uwamuzi ni wake

    Jibu

    Kama Guadiola atakua kweli ya garcia kusalia man city basi atabaki

    Jibu

    Uwamuzi ni wake

    Jibu

    Maamuzi ni yake

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Sidhani kama ataweza

    Jibu

    Anaweza kumshawishi ila km hataki amwache aende tu

    Jibu

    maamuzi yake

    Jibu

    Man city hawezi kumuacha Garcia haondoke bado hana humuimu mkubwa sana kwenye clabu

    Jibu

    Itakavyokua ndo hvyo hvyo

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Pep anajua garcia anhtaj nn

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Anaweza sana huyu jamaa kwa ushawishi

    Jibu

Acha ujumbe