Haaland Aweka 3 Kwenye Ushindi wa 4-0.

Erling Haaland ameendelea na kasi yake ya kutikisa nyavu hii ni baada ya kuweka 3 kambani kwenye ushindi wa 4-0 wa Norway dhidi ya Romania lakini alimsifu mchezaji mwenzake Martin Odegaard na alisema kuna mengi yanakuja kutoka kwao.

Timu ya Lars Lagerback haijafanya makosa tena baada ya kupoteza kwa Serbia katika michezo ya mtoano ya Euro 2020 siku ya Alhamisi sasa walirudi dimbani na kuigaragaza Romania na nyota wa Dortmund Halaand akiibuka nyota wa mchezo huo.

Straika huyo wa Borussia Dortmund alifunga magoli 17 katika michezo 18 ya Bundesliga na kwa sasa amefunga goli sita katika michezo saba ya timu ya taifa.

Haaland Aweka 3 Kwenye Ushindi wa 4-0.
Erling Haaland akiwa na mpira wake baada ya kufunga hat-trick.

Magoli mawili ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 yaliasistiwa na Odegaard siku ya Jumapili katika michuano ya Nations League na Haaland amepa pongezi mchezaji huyo ambaye amemzidi mwaka mmoja.

“Najisikia vizuri sana kucheza na Odegaard, na itaendelea kuwa bora zaidi kwa miaka ijayo, sisi bado ni vijana wadogo.”Odegaard naye hakusita kuongea jinsi anavyo jisikia akicheza na Haaland ambaye amekuwa akimpatia namna ya uchezaji wake na jinsi ya kumpelekea mipira.

“Tunajua nini cha kufanya linapokuja swala la kupata mipira nyuma na Haaland akiwa mbele,” alisema Odegaard.

“Anaanza akiwa ameimarika kila wakati na huwa asababishi offside,ana mbio anatokea kati tuna mtangulizia mipira mbele.

Kocha Lagerback naye pia aliungana haraka na kumsifu Haaland: “Bado ni kijana sana.


Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua.Β 

Cheza sasaΒ 

Samurai Ken Online Casino

25 Komentara

    Safi

    Jibu

    Dortmund wamefanya makosa sana kumuhuza halaand

    Jibu

    haaland yupo makini sana na anaiinua sana timu sasa waliokuwa wanamuona wa nini mpaka wakamuuza ndo wanamkumbuka sasa

    Jibu

    Yuko vizuri namkubali sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Yuko vzr sana kijana

    Jibu

    Kwa hali ninayoiyona kwa haaland ni mchezaji anayekuja kwa kasi

    Jibu

    Kijana makini sana

    Jibu

    Big up kwao

    Jibu

    Haaland yupo vizuri sana

    Jibu

    Kijana yuko vzuri

    Jibu

    Haaland United ilikosea wapi dah bonge la streika

    Jibu

    Haaland jeshiiii

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Haaland goal creater

    Jibu

    Haarland atakuja kutusahaulisha mapema sana habari za Messi na CR7

    Jibu

    Namuon mchezaj ataewek record kubwa

    Jibu

    Safi Sana Haaland

    Jibu

    Dortimund wamefanya makosa sana kumuuza hazard

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Good

    Jibu

    Dortmund wamefanya makosa sana kumuhuza

    Jibu

    Haaland mtu mbaya kaondoka na mpira wake

    Jibu

    Congrats haalandπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

    Jibu

    Eeh

    Jibu

Acha ujumbe