Hali si Shwari Ndani ya Barcelona.

Leo hii kuna maamuzi magumu yanatarajiwa kuchukuliwa kwa maslahi ya Barcelona mpya wengi wakitaka Rais Josep Maria Bartomeu ajiuzulu wadhfa wake.

Kiongozi wa vuguvugu hilo Durch Marc anasimamia msimamo kuwa bodi inapaswa kutoa majibu leo kama wanajiuzulu au waruhusu kura za kuamua hatma (vote of censure)

Inaaminika Bartomeu yupo tayari kujiuzulu ila anasubiri muongozo kutoka Mahakama ya kimichezo ya jimbo la Catalunya, huku pia Marc na wenzie wanataka kuipeleka kesi huko kama leo Bartomeu hatotoa majibu ya kuridhisha.

Katika hatua nyingine, wachezaji wa Barcelona Kupitia njia ya Burofax, walitoa taarifa ya kuhudhuria kikao cha leo kuhusiana na maamuzi ya kupunguzwa mishahara yao, lakini inasemekana wamegoma kurejea mezani kuzungumzia suala hilo.

Barcelona atakutana na timu ya Pirlo Juventus katika michuano ya Champions League huku ikiwa na kumbukumbu ya maumivu katika LaLiga kwa kuchapwa bao 3-1 na mahasimu wao Real Madrid, Je Barca wataendelea kusuasua? Usiache kufanya ubashiri wa mechi hii ndani ya Meridianbet tembelea tovuti www.meridianbet.co.tz.


Tsh.160,000,000 Kushindaniwa!

Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.

Kamata Mkwanja wako HAPA🤑

14 Komentara

    Hapo kwa Barca ni bora wapige kura za maoni

    Jibu

    Dah !

    Jibu

    Poleni sana barcelona kwa majanga

    Jibu

    Barcelona hawana jipya.

    Jibu

    Daaah mbona majanga

    Jibu

    Poleni sana barcelona

    Jibu

    Duu Barcelona ngoma ngumu

    Jibu

    Bora ajiuzulu

    Jibu

    Ajihuzulu tu inatosha alivyoitumikia timu hiyo

    Jibu

    Duuh noma sana

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Duu kama Simba

    Jibu

    Ngoja tuone, mchawi atagundulika tuu

    Jibu

    Hapo ndo wakat wa kushikana masharti ndani ya nou camp

    Jibu

Acha ujumbe