Inter Milan Kulipa Ada ya Achraf Hakimi kwa Madrid

Klabu ya Inter Milan inatarajia kulipa ada ya paundi milioni 13 ya nyota Achraf Hakimi kwa Real Madrid, kama sehemu ya usajili wao wa mwaka 2020.

Staa huyu mwenye uraia wa Morocco, aliungana na kikosi cha Antonio Conte mwanzoni mwa msimu huu kwa dili lililotajwa kuwa na thamani ya paundi milioni 40.

Thamani ya dili hili ilikluwa inategemea kiwango atakachokionesha staa huyu katika mafanikio yake Serie A, akiwa na kikosi cha Conte ambayo kwa sasa inaongoza msimamo wa ligi.

achraf hakimi inter
Kwa mujibu wa Gazzetta dello Sport, kupitia Mundo Deportivo, Inter sasa watalipa ada iliyokubaliwa kukamilisha dili la awali.

Klabu zilikubaliana malipo ambayo yalipaswa kukamilishwa mwisho wa mwaka uliopita 2020 kukamilishwa mwezio machi 2021, ili kuendana na muongozo wa UEFA wa maswala ya fedha kabla ya mwisho wa mwaka wa fedha.

Hakimi ameweza kuendana haraka na hali ya Serie A na kuwa sehemu muhimu ya mipango ya Antonio Conte, akiwa amecheza mechi 26 za ligi na magoli 6 kwa msi9mu huu wakitarajia kumaliza ukame wa taji wa miaka 11 pale San Siro.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

CHEZA HAPA

7 Komentara

    Habari njema

    Jibu

    Wajanja Sana hao

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Asanteni kwa makala

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Nc

    Jibu

    Milan wanamawe kama yote

    Jibu

Acha ujumbe