Inter Milan sasa wanajiamini wanaweza kuinasa saini ya mchezaji wa AS Roma Henrikh Mkhitaryan wakati wa dirisha la majira ya joto baada ya taarifa kudai amechelewa kujibu kama ataendelea na Roma au ataondoka.

Kwa ripoti ya Corriere dello Sport, Inter wamempa ofa ya mkataba wa miaka miwili ambao utamfanya kiungo huyo wa kimataifa wa Armenia apokee kiasi cha euro milioni 3.5 kwa mwaka pamoja na bonasi.

Sasa kazi imebaki kwa Mkhitaryan kufanya maamuzi ambapo mkataba wake wa sasa unafika mwisho Juni 30. Kutokana na ofa aliyopewa na Inter sasa Roma watalazimika kuboresha malahi na mkchezaji huyo ili aendelee kuitumikia klabui hiyo ambayo imshinda taji la Euefa Conference League siku ya Jumatano.

Huku Inter, wanampango wa kumtumia Mkhitaryan kwa kupokezana na Hakan Calhanoglu lakini pia kucheza nafasi ya ushambuliaji inapohitajika.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa