Jude Bellingham anawindwa na Klabu ya Liverpool, Liver wamejitosa katika mbio za kuwania saini ya kiungo huyo wa kati wa klabu ya Borussia Dortmund, raia wa Uingereza.

Liverpool wanamuhitaji Bellingham, ili kuendelea kuimarisha safu yao ya kiungo, lakini wanaweza kukutana na upinzani mkali kutoka kwa Real Madrid, ambao nao wanahitaji huduma ya kijana huyo.

Jude Bellingham

Majogoo wa jiji Liverpool, wanaendelea kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu ujao wa 2022/23, ikiwa tayari wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Darwin Nunez, kutoka Benfica ya Ureno.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa