Juventus: Mazungumzo ya Mkataba wa Dybala Yakwama

 

Wakala wa Paulo Dybala, Jorge Antun anadaiwa kuwa anatarajia kurejea Argentina baada ya mazungumzo ya mkataba wa mteja wake kusimama.

Mkataba wa sasa wa Paulo Dybala unadumu hadi Juni 2022, lakini nyota huyu amekuwa akisistiza nia yake ya kutaka kusaini kuongeza mkataba wake kuendelea kusalia Juventus.

Wakala wa mchezaji huyu, Jorge Antun analiwasili Italia mwezi uliopita, lakini alishindwa kuonana na raisi Fabio Paratici, kutokana na kutokuwepo na mazingira rafiki kwa mkutano wao kufuatia kutpatikana kwa visa vya Corona klabuni hapo.

Dybala

Kwa mujibu wa chapisho la Tuttorsport, wakala wa staa huyu sasa anatarajia kurejea Argentina bila kuonana na raisi.

Dybala anatarajia kuongezeka dau kwenye mshahara wake wake wa sasa wa euro milioni saba, ambao anatarajia huenda ikawa karibu mara mbili yake kwenye mkataba mpya.

Hata hivyo klabu inaripotiwa kuwa na kigugumizi kufikia dau ambalo analitaka Dybala kwenye mkataba mpya, kwa kile kinachotajwa kuwa ni changamoto ya kiuchumi iliyosababishwa na Corona.


 

TSH.160,000,000 KUSHINDANIWA!

Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.

Kamata Mkwanja wako HAPA

22 Komentara

    Ngoja tusubiri mazungumzo yao tuone majibu yatakuwaje

    Jibu

    Tungoje muafaka utavyokuwa

    Jibu

    Juve lazima watataka kumuongezea mkataba tu paulo

    Jibu

    Ngoja tuone kitakacho jili

    Jibu

    Dyabala anaongezewa dau..lazima iwe ngumu kidogo.coz inahitajika pesa ndefu

    Jibu

    Ngoja tusubir tuone mwisho itakuwaje

    Jibu

    Tunasubiri mwendelezo

    Jibu

    kwa ali ya uchumi ilivyopolomoka sizani kama juventus wataweza kumuongezea hilo dau dybala

    Jibu

    Wakae chini waongee

    Jibu

    Dyabala atafute ustrabu mwengine

    Jibu

    Juve lazima watamuongezea tu mkataba

    Jibu

    Acha tungoje muhafaka utavyokua

    Jibu

    Sio mbaya akiongezewa

    Jibu

    Duuh tunasubili itakuaje

    Jibu

    Kila la kheri Kama hatabaki Turin

    Jibu

    Diabala ni wakati wa kutafuta ustsarabu mwengine

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Ngoja tusubir

    Jibu

    Dybala lazima ataondoka tuu Juventus

    Jibu

    Aende tuu

    Jibu

    Dybala atasepa tu

    Jibu

    Pesa hakuna Lazima mazungumzo yasimame

    Jibu

Acha ujumbe