Kalou Kwenda Botafogo

Salomon Kalou anakaribia kifikia makubaliano ya uhamisho wa bure kwenda Botafogo, kutoka na ripoti za voingozi wa klabu hiyo ya Brazili.

Mchezaji wa zamani wa Chelsea Kalou atakuwa amemaliza mkataba wake na Hertha Berlin mwishoni mwa mwezi Juni kwasasa yupo kwenye mazungumzo na miamba hiyo ya Rio de Janeiro.

Botafogo, wana kiungo wa zamani wa Milan Keisuke Honda kwenye vitabu vyao, walishindwa kufikia makubaliano na Yaya Toure, ambaye mgombe Uraisi wa Vasco da Gama Leven Siano ameahidi kumsaini.

Japo, wanamatuaini ya kusajili mchezaji wa zamani wa Ivory Coast kwenye klabu yao karibuni.

“Tayari ana mkataba wa awali, alitaka kufahamu kuhusu taarifa moja kwenye mkataba tukamtumia,” ilisema taarifa kutoka Botafogo.

“Nadhani ni sawa na kama hakuna mgombe wa uraisi wa Vasco atakeliingilia, nadhani anaweza kuja..”

Botafogo imeripotiwa wamepa ofa ya mkataba wa miezi 18 japo watapata upinza kwa vilabu vya Ulaya.

49 Komentara

    Kila la heri

    Jibu

    Ipo poa hii Solomon kalou yupo fiti bado hacha akamalizie mpira wake huko botafogo

    Jibu

    Kila la heri mwamba wa ivory coasty na legendary wa Chelsea na hertha Berlin thnks meridian bet kwa update

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wake#meridianbettz

    Jibu

    Kalou ameshazeeka kabisa
    # meridianbet Tanzania

    Jibu

    Kalou kamalizie soka huko

    Jibu

    Wafrika kuna wachezaji wazuri,km huyu kalou ni mchezaji hatari sana.

    Jibu

    Yupo fiti acha akamalizie mpira wake

    Jibu

    Kalou yupo vizuri sana anajua mpira

    Jibu

    Yupo vizur hyo

    Jibu

    asante kwa taarifa na uko ndo anapoenda malizia soka so kila la heri

    Jibu

    Kalou bonge la mchezaji sema amepotea mapema

    Jibu

    Kalou bdo analipa kumbe duuh

    Jibu

    Maoni:Kalou anajua mpira

    Jibu

    Kalou amepoteza mapema

    Jibu

    Bonge la mechi sema amepotea mapema

    Jibu

    Ni vizuri ku a na uzoefu wa ligi tofauti. Safi Solomon

    Jibu

    Kumbe bado yupo fit

    Jibu

    Daa huyu jamaa sijui wap

    Jibu

    Kila kher kwake

    Jibu

    Nimchezaji mzuri#meridianbett

    Jibu

    Bado anadai

    Jibu

    Karibu Botafogo.

    Jibu

    Ni habari njema! Kila la kheri kalou

    Jibu

    Kila kher huko aendako kalou

    Jibu

    Nendà kamalizie uko mbele ya safar kila LA kheri

    Jibu

    Ni habari nzuri kwa mashabiki wao

    Jibu

    Jamani huyu Kalou Bado yupo ha haaaaa#Meridianbettz

    Jibu

    Ni habari nzuri

    Jibu

    hacha akamalizie mpira wake huko botafogo

    Jibu

    Hongera Sana kalou huko botafogo ndio utakapoenda kumaliza soka

    Jibu

    Mwamba bado soka la upinzani analiweza

    Jibu

    kila la kheri uko uendako

    Jibu

    Ni jambo zuri kila kheri

    Jibu

    Kama kuna panalipa safi sana

    Jibu

    Nijambo jema kwake

    Jibu

    Ni Jambo njema sana

    Jibu

    Kalou alikua nomaa sana akiwa pale darajani kitambo hicho

    Jibu

    Kila la kheri anakoona yeye Palo sahihi kwake

    Jibu

    Wana Chelsea tunamkumbuka Sana kalou alikua moto Sana alipokua akitumikia the blues kwa sasa kiwango kimeshuka na umri nao ndo ushamtupa mkono

    Jibu

    Jamaa ni fundi najua mpira

    Jibu

    gud news

    Jibu

    All the best

    Jibu

    Ila mguu wake wa kutoka sidhani Kama utakua mzur huko aendapo

    Jibu

    Kila lakheli huko botafogo ukacheze kwa kiwango kizuri zaidi

    Jibu

    Kila la kheri. Ila tutamkumbuka kwa juhudi alizozionyesha

    Jibu

    Ni jambo lisilofikirika kwa mchezaji wa Africa kusajiriwa America Kusini kwenye vipaji vya soka#meridianbettz

    Jibu

    Popote Misha yapo kapige kazi mzee baba

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wake

    Jibu

Acha ujumbe