Kane Afikisha Goli 150 Katika Premier League.

Harry Kane amefanikiwa kufunga goli lake la 150 katika Premier League baada ya kuifungia Tottenham goli pekee na la ushindi dhidi ya West Brom siku ya Jumapili.

Licha ya Kane, Son Heung-min na Gareth Bale kuanza pamoja katika eneo la ushambuliaji, timu ya Jose Mourinho haikuonesha makali hasa eneo la ushambuliaji dhidi ya The Baggies.

Lakini Kane ametetea rekodi ya ushindi wa nne mfululizo ugenini baada ya kufunga kwa kichwa pasi safi iliyopigwa Matt Doherty mbele ya Sam Johnstone.

Nafasi za mapema zilimdondokea Son ambaye alitumia muda mrefu kukaa na mpira ndani ya eneo la penati na mwishowe shuti alilopiga lilizuiliwa na Semi Ajayi.

West Brom walilisogelea lango la Spurs mara mbili, Karlan Grant alipiga kwa kichwa krosi kutoka kwa Darnel Furlog vilevile Eric Dier alijaribu kupiga kichwa pasi kutoka kwa Grant Lurking lakini mpira ulielekea nje.

Ilichukua muda wa saa moja mpaka Spurs walipofanikiwa kupiga shuti lililoelekea langoni mwa West Brom.

Giovani Lo Celso alimbadili Tanguy Ndombele aliyepata jeraha na alipata nafasi ya kusabisha hatari na alipiga kushuti baada ya kupata mpira kutoka kwa Barely.


USHUJAA UNAKULIPA HAPA!

Hii ni halisi kwa ajili ya mashujaa wote! Ukiwa jasiri unavuna mkwanja kibao hapa na sloti hii ya Huangdi Casino. Waka nusu tukupe maradufu!

Ratiba ya Soka Ligi Mbalimbali.

Ingia Mchezoni!

27 Komentara

    Kane Mwamba ambae mikiki kiki yake inapungua nguvu na anaenda mwishoni kwenye soka,ila hongera zake kwa magoli hayo aliyofunga

    Jibu

    Pongez nyingi kwake

    Jibu

    Kane hongera kwako

    Jibu

    Hongera sana kane

    Jibu

    Ni vizuri

    Jibu

    Safi sana na hongera kwake

    Jibu

    Harry Kane alisema anataka kufikisha magoli 200 bila shaka anakaribia kufikia lengo lake

    Jibu

    Kane yuko vizuri sana kwenye kukimbia na mpira ingawa umri nao unampa mkono lakini bado tunaona jitihada zake

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Kane kama anatakakuja hivi alafu anakataa, Wengi tulitegemea kumuona Kane akifanya mabalaa ndani ya EPL katika msimu huu lakini mambo yanaonekana kwenda Vice Versa.

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Kane umetishaa Sana

    Jibu

    Ni rekodi safi sana

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Hongera sana kane

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Kane goal creater anaejua kuzifumania nyavu rekod zaid zitamuhusu

    Jibu

    Congrats 🎉🎉 KANE

    Jibu

    Big up kwake

    Jibu

    Kane namkubali sana hii ni mashine nyengine kabisa yaani

    Jibu

    pongezi kwake

    Jibu

    Anastahili pongezi

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    kane yupo vizuri sana katika soka ndo maana kafikisha magoli yote ayo

    Jibu

Acha ujumbe