Kante Ruksa Kufanya Mazoezi Nyumbani - Chelsea

Chelsea itamruhusu N’Golo Kante kutokufika mazoezini kwa hofu ya Corona, hata kama atakosa mechi zote zilizosalia.

Kiungo huyo Mfaransa amegomea ya mazoezi ya klabu yaliyoanza Jumanne, Cobham base.

Lakini ameamua kufanya mazoezi nyumbani na klabu yake ya Chelsea imemuunga mkono.

Kante ameogopa kuzua taharuki kwa wachezaji wenzake kwani mwaka 2018 aliwahi kuzimia wakati wa mazoezi, hata kaka yake alifariki kwa mshtuko wa moyo mwaka huo huo.

Kwa mujibu wa ofisi ya Taifa ya Takwimu, waume kwa wake weusi wako hatarini mara mbili zaidi kufa kwa Virusi vya Corona kuliko watu weupe walio Uingereza na Wales.

Maamuzi ya Kante yana randana na maamuzi ya nahodha wa Watford Deeney.

Chelsea haijui ni lini mchindi huyo wa Kombe la Dunia atarejea mazoezini, yaliyoanza wiki hii kwa vikundi vidogo vidogodo.

 

 

 

 

 

 

 

 

Lakini Chelsea wameelewa maamuzi ya Kante na wakati huu Cobham imefanywa salama na hakuna hatua zilizochukuliwa kwa nyota huyo wa zamani wa Leicester kubadili maamuzi yake.

Hatua ya kwanza ya mazoezi imeanza kwa vilabu vya Premier League wiki hii, wakiwa na matumaini msimu uliosimama Machi 13 uaweza kuendelea katikati ya June.

Chelsea wana mechi tisa zimesalia wakiwa nafasi ya nne kwenye msimamo.

28 Komentara

    Kiungo Fundi kabisa ….msimu ujao tunamuona Madrid huyu kagoma kijanja hapo tu

    Jibu

    Hatimaye karuhusiwa kufanya anachojisikia ni bora sana .

    Jibu

    Vizuri .kante kiungo mkabaji Bora Sana.

    Jibu

    Kante yuko vizur Sana

    Jibu

    Ni uwamuzi nzuri

    Jibu

    namkubali sana kante mungu amsaidie aendelee na mazoezi

    Jibu

    Kante yuko vizuri sana

    Jibu

    Kante anajua anachokifanya

    Jibu

    Kante fundi kinyama

    Jibu

    Yuko poa jeshi.

    Jibu

    kashinda kusimamia kile anachoamini ila tunapenda kumuona kwenye pitch akimaliza ligi

    Jibu

    Nimuhimu kujiweka fiti kabla games hazijaanza

    Jibu

    gud newz

    Jibu

    Kutokuwepo kwake katika kumalizia ligi kunaweza kukaifanya Chelsea kushuka katika top four

    Jibu

    Kante yupo vzr next season atakwend psg ndo maana kagoma kuongezah kandarasi mpya thanks meridian kwa information za burudani na michezo

    Jibu

    Kante noma Sana

    Jibu

    Kante ni balaa lingne kwakwel

    Jibu

    ni Jambo jema kama timu yake wamemruhusu afanyie mazoez nyumban

    Jibu

    Bora akae nyumban Kante wangu#Meridianbettz

    Jibu

    Duuhh!!!

    Jibu

    Kante yuko vizuri namkubali sana

    Jibu

    Inapaswa uwe na msimamo wako binafsi safi ngolo

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Ana msimamo mzuri

    Jibu

    Ngolo hajafanya uamuzi sahihi, changamoto inakabiliwa sio kukimbiwa# Meridianbettz

    Jibu

    Kafanya uwamuzi sahihi

    Jibu

    Kante yuko sahihi kabisa

    Jibu

    atakwend psg ndo maana kagoma kuongezah kandarasi mpya thanks meridian kwa information za burudani na michezo

    Jibu

Acha ujumbe