Kepa na De Gea Wanapaswa Kujifunza kwa Anthony Joshua.

Neviile Southall anaamini Kepa Arrizabalaga na David de Gea wanatakiwa kujifunza suala la thamani kutoka kwa Bingwa wa dunia katika maswala ndondi uzito wa mkubwa Anthony Joshua.

Chelsea walimfanya Kepa kuwa golikipa wa gharama zaidi ulimwenguni mwaka 2018 lakini amekuwa akifanya makosa mara kwa mara yanayo igharimu timu hiyo na kosa la mwisho kufanya ni lile la mchezo dhidi ya Mbaingwa watetezi wa Premier League Liverpool siku ya Jumapili

Kwa sasa wanajiandaa kumpa nafasi ya kwanza golikipa kutoka klabu ya Rennes Edouard Mendy anayetarajia kutua darajani kwa dau linaloripotiwa kufika £22m.

Wakati huo huo mlinda mlango wa Manchester United amekuwa katika wakati mgumu kwa kuwa na kiwango kisicho ridhisha na kocha Ole Gunnar anatarajia kumpa nafasi golikipa Dean Henderson aliyekuwa kwa mkopo katika klabu ya Sheffield United.

Southall ambaye aliisadia timu ya Everton kushinda mataji mawili ya ligi, FA Cup mbili na European Cup Winners’ Cup wakati akiwa  Goodison Park, alimpointi mpiganaji Anthony Joshua ambaye alidondoshwa na Andy Ruiz Jr mwezi Juni 2019, lakini alirejesha mkanda wake miezi sita baadaye kuwa funzo kwa magolikipa hao.

Kepa na De Gea Wanapaswa Kujifunza kwa Anthony Joshua.
Kepa na De Gea

“Wakati ukiwa golikipa ukumbuke kila mtu atakuhukumu kama ukiwa umefungwa,’ Southall aliiambia Stats Perform News.

“De Gea aliwahi kudhihirisha kuwa golikipa bora ulimwenguni, lakini kila mtu alianza kupata shaka juu ya kiwango chake kitu ambacho kwangu mimi hakileti maana.

“Ni kama kwa Anthony Joshua alidhihirisha yeye ni bondia bora duniani kwa sababu ameshinda mikanda mingi na kisha kupoteza moja na baadaye alirejesha nadhani kuna funzo kwa Joshua

Aliulizwa anafikiria nini kuhusu kepa akiwa Chelsea Southall alisema: “Wachezaji ni mawaziri wakuu wa soka duniani, kila mtu anawachukia au atawapenda inategemea atawafanyia nini.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

39 Komentara

    Asanteni kwa taarifa.

    Jibu

    Wanawangusha sana mafans wao kwa makosa yao yakizembe

    Jibu

    Sahihi

    Jibu

    Nimemuelewa sana Southall , Kepa na De Gea wanatakiwa kujifunza kitu hapa lakini binafsi sina shaka na kiwango cha De Gea

    Jibu

    kepa na mwenzio uwezo wao katika kudaka mpira umeshuka sana wanastahili kujifunza kwa wenzao mbinu mpya

    Jibu

    De gea kiwango chake kipo vizuri sana

    Jibu

    Yuko vzuri

    Jibu

    Anthony ni mfano wa kuingwa!!

    Jibu

    Anthony Ni mfano mzuri inatakiwa wamuige

    Jibu

    Kepa na De Gea anatakiwa ajifinze kitu Mimi Kama Mimi sinashaka nae De Gea

    Jibu

    Hapo Chelsea wamepata hasara bora wamuuze tu huyo goli kipa

    Jibu

    Kwa kweli kuna la kujifunza.inabidi wapambane kufa na kupona .wanatulet Sana down mashabiki zao

    Jibu

    Me naona mwanzo tu kwa Chelsea wamesajiri wachezaji wengi wenye uwezo imebaki kazi ya kocha tu kupanga wachezaji tunaimani mchezo hunao kuja watafanya vizuri

    Jibu

    Kwa kweliii kepa na De Gea wanahitaji kujifunza kwa anthony ili waimarike vyema.

    Jibu

    Chelsea ilimununua Kepa bila kutafakari sana kama mbadala wa Thibaut Courtois aliposajiriwa na Real Madrid. Nadhani De Gea atarejea ktk Kiwango chake#meridianbettz

    Jibu

    Nikweli

    Jibu

    Chelsea walimfanya Kepa kuwa golikipa wa gharama zaidi ulimwenguni mwaka 2018 lakini amekuwa akifanya makosa mara kwa mara yanayo igharimu timu hiyo na kosa la mwisho kufanya ni lile la mchezo dhidi ya Mbaingwa watetezi wa Premier League Kwa kweliii kepa na De Gea wanahitaji kujifunza kwa anthony

    Jibu

    Anthony yuko vizuri sana

    Jibu

    🔥

    Jibu

    safi sana

    Jibu

    🙊

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    Yan kweli kabisa hasa kwa kepa Chelsea walimsajili kwa pesa nyingi lakini ameshindwa kuonyesha dhamani ya pesa yake inabidi awekwe pembeni atafutiwe mwanasaikologia kumjenga kiakili ili arudi kwenye kiwango kizuri mana wachezaji wapo tena wazuri la kipa hamna

    Jibu

    Anthony wamoto sanaa anajua anachokifanya

    Jibu

    Ni .makipa wazuri sema wana kuwaga wazur kwa msimu tu

    Jibu

    saf

    Jibu

    Anthony yuko vizuri na pia anasitahili pongezi

    Jibu

    Kwer kabisa

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

    Jamaa yupo vizuri

    Jibu

    De Gea yupo vizuri

    Jibu

    sahihi

    Jibu

    Anthony Joshua fundi

    Jibu

    De gea akafuate changamoto nyingine la sivyo mwisho wake utakuwa mbaya

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Kweli kabisah

    Jibu

    Yupo vizur

    Jibu

    Yupo vzr

    Jibu

    Nimemuelewa sana Southall , Kepa na De Gea wanatakiwa kujifunza kitu hapa lakini binafsi sina shaka na kiwango cha De Gea

    Jibu

Acha ujumbe