Jarrod Bowen mchezaji wa West Ham ameitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza ambacho kimethibitishwa na kocha wa timu hiyo Gareth Southgate ambaye amwewaacha nyota wa Man United Jadon Sancho na Marcus Rashford kulekea mechi za UEFA Nation’s League.

Timu ya Uingereza inajiandaa kucheza dhidi ya Hungary Juni 4 kabla ya kukutana na Ujreumani Juni 7 watakuja kucheza tena Juni 11 na 14 dhidi ya Hungary na Italia.

Magolikipa: Jordan Pickford (Everton), Nick Pope (Burnley), Aaron Ramsdale (Arsenal).

Walinzi: Trent Alexander-Arnold (Liverpool), Conor Coady (Wolves), Marc Guehi (Crystal Palace), Reece James (Chelsea), James Justin (Leicester), Harry Maguire (Manchester United), John Stones (Manchester City), Fikayo Tomori (AC Milan), Kieran Trippier (Newcastle), Kyle Walker (Manchester City), Ben White (Arsenal).

Viungo: Jude Bellingham (Borussia Dortmund), Conor Gallagher (Crystal Palace), Mason Mount (Chelsea), Kalvin Phillips (Leeds), Declan Rice (West Ham), James Ward-Prowse (Southampton).

Washambuliaji: Tammy Abraham (Roma), Jarrod Bowen (West Ham), Phil Foden (Manchester City), Jack Grealish (Manchester City), Harry Kane (Tottenham), Bukayo Saka (Arsenal), Raheem Sterling (Manchester City).


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa