Kocha Tite Akoshwa na Kiwango cha Wachezaji wa Brazil.

Kocha wa Brazil Tite amesifu kiwango cha wachezaji wake baada ya ushindi mnono wa goli 5-0 dhidi ya Bolivia siku ya Ijumaa.

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Firmino alifunga mara mbili licha ya kutocheza michezo ya kimataifa karibia mwaka mzima lakini alionesha kiwango kizuri ikiwa ni mchezo wa kufuzu kushiriki kombe la dunia.

Marquinhos na Philippe Coutinho pia walifunga katika mechi hiyo, na goli lingine lilikuwa lakujifunga kwa upande wa Bolivia katika mjini Sao Paulo.

Neymar hakufunga katika gemu hii lakini alikuwa na ubora wa hali ya juu na hakuonesha ishara yoyote ya tatizo la mgongo kama alivyokuwa akisumbuliwa wakati wa kujiandaa na mechi hiyo.

“Tunatafuta maarifa, mikakati na maelewano ya kucheza,” Tite alisema baada ya kupata ushindi.

“Coutinho alicheza ndani,na Firmino hakuwa mbali yake. Firmino hakuhangaika sana kutafuta mipira alikuwa akiisubiri tu aende kufunga.

“Alifunga mawili na angeweza kufunga mawili mengine lakini nimefurahishwa sana na kiwango cha timu yetu.

Brazil wanatarajia kurudi dimbani siku ya Jumanne watakapo wataembelea Peru.


Weka Pesa kwa Airtel Money!

Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!

Soma Zaidi

32 Komentara

    wachezaji kutoka brazil wapo vizuri sana ata timu yao ya taifa uwa inafanya vizuri zaidi iwapo uwanjani

    Jibu

    Brazil inataka kurudi enzi za ubora wake. Ni nchi yenye vipaji vingi vya mpira na kuna mashabiki wenye wendawazimu kupenda mpira#meridianbettz

    Jibu

    Nikweli wachezaji wa Blazil wapo vizuri Sana natimu yaho yataifa inawachezaji watimu kubwa Sana ndomana sifa izo kwao kwawachezaji

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Brazil wapo vizuri sana na kila kocha anavutiwa nao sio yeye tuu bali hata sisi mashabiki tunasikia raha ajabu

    Jibu

    inapendeza sana

    Jibu

    Brazil sio timu ya kuwaamini muda wowote wanalimwaga

    Jibu

    Wachezaji kutoka blazil wapo vizuri sana

    Jibu

    Wachezaji wa brazil wapo vinzur

    Jibu

    Brazil kuna vipaji

    Jibu

    Wachezaji wa kibrazil wanavipaj sana

    Jibu

    Brazil ipo vizuri kwenye history

    Jibu

    Brazil wapo vizuri kwa mpira

    Jibu

    Brazil imeimarika sna kipindi

    Jibu

    Kwenye history ya mpira Brazil hawakosi wapo vizuri sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Brazil wamejaliwa vipaji

    Jibu

    Wapo vizuri

    Jibu

    Brazil kurudi kama enzi zake itachukua muda.sana

    Jibu

    Pongez kwao SAMBA boi

    Jibu

    Brazil wapo vzur ktk historia yao.

    Jibu

    Brazil kuna wachezaji

    Jibu

    Wachezaji wa Brazil wapo vizuri

    Jibu

    Brazil wapo vizuri Sana na timu yao ya taifa inawachezaji wa timu kubwa Sana ndo maana sifa izo kwao kwa wachezaji

    Jibu

    Brazil wanawachezaj wazuri sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Yuko sahihi

    Jibu

    Brazil wako vizuriii sana. Wachezajii wao wanajituma vyema

    Jibu

    Wapo vizuri

    Jibu

    Wameivaaa

    Jibu

Acha ujumbe