Kounde: Guardiola Aliniahidi Kunichezesha.

Mlinzi wa Sevilla Jules Kounde amethibitisha alifanya mazungumzo na Kocha Pep Guardiola juu ya uhamisho wake wa kwenda Manchester City na alihakikishiwa juu ya kupata muda kucheza.

Kounde amecheza mechi 40 katika timu ya Sevilla ikijumuishwa michezo tisa ya kwenye mbio zao za ubingwa wa Europa League.

Mchezaji huyo anaye iwakilisha timu ya Ufaransa ya vijana wenye umri chini ya miaka 21 yupo kwenye fomu na alikuwa akihusishwa kujiunga na Manchetser City katika dirisha la usajili lililopita lakini dili hiyo haikufanikiwa.

Kiongozi wa michezo wa Sevilla Monchi alisema mwezi September kwamba mchezaji wao alipata ofa na klabu ambayo hakuitaja jina, wiki moja kabla Manchester City haijamsaini Ruben Dias kutoka klabu ya Benfica.

Kounde aliisadia Sevilla kupata clean sheet mbili katika michezo mitano ya LaLiga msimu huu lakini amekiri kuwa alikuwa na nia ya kuhamia Manchester City.

“Ndiyo, niliongea na Guardiola,” aliiambia Canal Football Club. “niliongea naye kwenye simu na mazungumzo yalikuwa mazuri.

“Nilikuwa nikivutiwa kwenda huko, ilikuwa ni fursa makini nilikuwa nimehakikishiwa nuda wa kucheza lakini mpango haukukamilika.


Usichelewe Kukamata Mkwanja Huu!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

22 Komentara

    Kounde inaelekea anahamu sana na man City yeye atulie tu kwan Guardiola alimuakikishia kwenda uko lkn mipango haijakaa pow kabisa

    Jibu

    kounde afanye tu mazungumzo mazuri na guardiola atachukuliwa

    Jibu

    Mmmh

    Jibu

    Hili ni bonge la makala

    Jibu

    Hatar sana

    Jibu

    Ingawah gurdiola alifanya mazungumzo na kuonde hakuwah chaguo la kwanza la kwanza ndo maana hakufany usajil huo na kumsajil beki kutok benfica Ruben Diaz

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Konde afanye mazungumzo na Guardiola amchukue

    Jibu

    vzr

    Jibu

    Dah

    Jibu

    Eeeeh bwanae

    Jibu

    Kounde hakuwah chaguo sahihi la pepe gardiola ndo maana usajil wake haukafanyika mpka sasa

    Jibu

    Kazi ipo jamani

    Jibu

    Dhuuu

    Jibu

    Kounde pep asikufanye uache timu ambayo inakupa nafas wakat ye muda hana hapo city

    Jibu

    Kounde aongeze vizuri na Guardiola ili achukuliwe

    Jibu

    Kazi ipo

    Jibu

    Asnt kwa taarif meridianbet.

    Jibu

    Hatari

    Jibu

    Nihatar

    Jibu

    Habari nzuri sana

    Jibu

Acha ujumbe