Leao Afunga Goli la Haraka Zaidi Katika Serie A.

Fowadi wa AC Milan Rafael Leão alifunga bao la haraka zaidi katika historia ya Serie A Jumapili, akifunga baada ya sekunde sita tu huko Sassuolo.
Leao Afunga Goli la Haraka Zaidi Katika Serie A.
Wachezaji wa AC Milan wakisherehekea baada ya kufunga bao

Mshambuliaji huyo wa Ureno ameweka rekodi mpya kwa bao la kasi zaidi kunako ligi ya Serie A baada ya kutupia wavuni baada ya sekunde sita tu kwenye Uwanja wa Mapei.

Na ilikuwa ni goli lake la tatu katika ligi ya Serie A la Leao msimu huu, na la nne katika mashindano yote.

Wataalamu wa takwimu walisema goli la kijana huyo wa Ureno lilivunja rekodi ya awali ambapo goli lilifungwa sekunde ya nane goli lililofungwa na Paolo Poggi wa Piacenza dhidi ya Fiorentina mwaka 2001.

Hakan Calhaonglu aliongeza goli lingine kwa timu ya Milan goli la pili baada ya dakika 9 lakini goli la mchezaji huyo wa kimataifa wa Uturuki lilikataliwa kwa kuotea baada ya ukaguzi wa VAR..

Viongozi wa Serie A Milan walikuwa alama moja mbele ya Inter Milan inayoshika nafasi ya pili kwenda kwenye mechi za Jumapili.


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

19 Komentara

    Vizuri hongera yake

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Safi sana kijana kwa bao la ushindi

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi Sana.

    Jibu

    Hii ni kali zaid

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Jamani inafurahisha sanaa#meridianbett#

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Pongez kwao

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Magoli ya mapema mapema huwaga ni ngumu kuyarudisha

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Big up kwao

    Jibu

    Gud job

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safii Sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Great Work

    Jibu

Acha ujumbe