Liverpool wamefanikisha ndoto ya kinda wa Scotland Calvin Ramsay kwa kumsajili kuwa kama msaidizi wa Trent Alexander-Anold akitokea klabu ya Aberdeen.

Taarifa zinadai Joe Gomez ambaye alikuwa akisaidiana na Trent miaka kadhaa iliyopita yupo mbioni kuondoka Anfield ingawa yeye ni beki wa kati wa asili.

Lakini sasa hiyo siyo kesi tena kwani kinda wa miaka 18 ambaye amesainiwa kwa dau linaloripotiwa kujwa pauni milioni 4.2 na mchezaji huyo hakusita kuonyesha furaha yake kujiunga na mimba wa Premier League.

“Ilikuwa ndoto kuichezea Aberdeen, na sasa kuwa katika moja ya klabu kubwa zaidi, kama sio klabu kubwa zaidi duniani, ni mafanikio makubwa na ninatarajia kujaribu kuwaonyesha mashabiki kile ninachofanya” nimepata,” Ramsay alisema.

“Natumai naweza kuingia kabla ya msimu mpya, nionyeshe kila mtu kwenye klabu, wachezaji kile nilichonacho kisha tutaona kitakachotokea hapo.”


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa