Madrid Yathibitisha Kroos Kuwa Majeruhi.

Klabu ya Real Madrid imethibitisha Toni Kroos anasumbuliwa na jeraha la misuli alilopata wakati mechi dhidi ya Real Betis mchezo ambao Madrid ilishinda kwa 3-2 siku ya Juamamosi.

Mjerumani huyo wa kimataifa alitolewa nje kipindi cha kwanza cha mchezo jijini Sevilla, na nafasi yake ilichukuliwa na kiungo mwenzake Luka Modric.

Madrid Yathibitisha Kroos Kuwa Majeruhi.
Kiungo, Toni Kroos

Baada ya vipimo siku ya Jumatatu, Madrid imetangaza Kroos anatatizo kwenye nyonga ingawa hawajaainisha kiungo huyo mwenye umri wa miaka 30 atakaa nje kwa muda gani.

“Baada ya vipimo vilivyofanyika siku ya leo kwa mchezaji wetu, Toni Kroos amekutwa na tatizo la jeraha kwenye nyonga yake ya upande wa kushoto ,” hayo yalikuwa ni maelezo ya klabu.

“Matibabu yake yataendelea kufuatiliwa,”

Kikosi cha Zinedine Zidane kitakuwa dimbani siku ya Jumatano, kikiwaongoza Real Valladolid wakati pia kikijiandaa kuwakabili Levante mwishoni mwa wiki.

Kroos pia yupo katika shaka la kuikosa mechiya kimataifa Ujerumani itakapo cheza na Uturuki Oktoba 7 mchezo wa kirafiki, ikifuatiwa na michezo ya Nations League dhidi ya Ukraine naa Switzerland wakati wa mapumziko.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

41 Komentara

    Jeraha la mapem ndo kwanz msim unaanza Ila atalud sawa

    Jibu

    Duuh majanga hayo kwa kroos pole sana

    Jibu

    Majanga

    Jibu

    Get well soon

    Jibu

    Pengo muhimu sna madrid anatumikia vizur sehem yakiungo

    Jibu

    Duh!!majanga

    Jibu

    Sorry for you champ

    Jibu

    Pole Sana Toni

    Jibu

    Pole jamani

    Jibu

    Atapona tu kwa uwezo wa Mungu

    Jibu

    Jamani

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Duuuuh pole. Yake

    Jibu

    Kroos pengo kubwa

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Pole yake kroos

    Jibu

    Get well soon Kross

    Jibu

    Gud

    Jibu

    atakaa sawa tu pole kwake

    Jibu

    Pole Sana

    Jibu

    Pole sana mungu atakusaidia

    Jibu

    Pole yake atakuwa sawa tuu

    Jibu

    Kikosi cha madrid kipo vizuri pengo lake litazibwa tu

    Jibu

    Pole Sana Kroos

    Jibu

    Pole sana kijana

    Jibu

    Ameanza vibaya msimu kroos ndio kwanza ligi hinaanza na majeraha juu

    Jibu

    Pol san

    Jibu

    Pole sana kijana

    Jibu

    Pole sana kroos mungu atajalia utakaa sawa.

    Jibu

    Getwellsoon

    Jibu

    Kroos pengo kwa Madrid

    Jibu

    Poleee

    Jibu

    bad news

    Jibu

    pole ake

    Jibu

    atapona tu

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Pole sanaa

    Jibu

    Habari mbaya.

    Jibu

    Get well soon

    Jibu

    Madrid wanakibarua hapa bila ya Kros

    Jibu

    Madrid wanakibarua hapa bila ya Kros

    Jibu

Acha ujumbe