Maradona Anaendelea Vizuri Asema Daktari Wake.

Diego Maradona anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa upasuaji wa ubongo na tayari anajihisi yupo katika hali ambayo anaweza kuruhusiwa kutoka hosptali, hii ni kwa mujibu wa daktari wake binafsi Leopoldo Luque.

Gwiji huyo wa Argentina alifanyiwa operesheni ya ubongo siku ya Jumanne siku moja baada ya kupelekwa hosptali kutokana na matatizo ya anemia na dehydration yanayomsibu.

Maradona Anaendelea Vizuri Asema Daktari Wake.

Luque hapo nyuma alibainisha “shughuli” ya upasuaji wa Maradona imemalizika kwa mafanikio. Kila kitu kimeenda kama ilivyopangwa. Hali ya Diego iko sawa na amepumzika chumbani kwake.” kwa sasa amesema juu ya hali ya Maradona mwenye umri wa miaka 60.

“Matibabu yanaendelea vyema,” amesema nje ya Kliniki ya Olivos mjini Buenos Aires ambako maradona anakaa.

“Anajihisi anaweza kutoka hospital, anajihisi kama tayari yupo sawa anaweza kuruhusiwa kutoka hospitali anaweza kutembea.

Maradona ambaye alifanikiwa kushinda kombe la dunia akiwa na Argentina mwaka 1986 na kuiongoza Napoli kushinda mataji mawili ya Serie A, alichukua mikoba ya kuinoa Gimnasia y Esgrima La Plata tangu mwaka 2019.

Mchezaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi ametuma salamu za kumtakia kheri kupitia mtandao wa kijamii siku ya Jumatano, alipost: “Familia yangu na mimi tunakuombea urejee kwenye hali yako ya kawida,mkumbato wa dhati kutoka kwenye nyoyo zetu!”


USHUJAA UNAKULIPA HAPA!

Hii ni halisi kwa ajili ya mashujaa wote! Ukiwa jasiri unavuna mkwanja kibao hapa na sloti hii ya Huangdi Casino. Waka nusu tukupe maradufu!

Ratiba ya Soka Ligi Mbalimbali.

Ingia Mchezoni!

21 Komentara

    Vizuri Sana πŸ‘

    Jibu

    sizani kama maradona hatakua vizuri kama zamani kutoka na jeraha alilopata na umri alio kua nao tusubiri kuona kustaafu kwake

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    Maradona legend mweny historiakubwa

    Jibu

    Habr njema apone araka

    Jibu

    Mungu ni mwema

    Jibu

    Kila la heri katika afya yako maradona

    Jibu

    Maradona legend alieacha historia kubwa

    Jibu

    Gud to hear this

    Jibu

    Afadhali

    Jibu

    Pole yake maradona mungu atamsaidia atapona

    Jibu

    Tunafuraha sana kusikia hivo kama anaendelea vzr

    Jibu

    Get well soon πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ

    Jibu

    Soon atakuwa sawa

    Jibu

    Daaah Ni Jambo nzur sanaa!!

    Jibu

    Hakika ni habari njema sana

    Jibu

    Mungu asaidie apone aludi kwenye kazi yake maradona

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Mungu amsaidie

    Jibu

    Pole sana maradona huyo ni gwiji kwenye soka

    Jibu

    Pole yake jamani

    Jibu

Acha ujumbe