Marco Giampaolo Atimba Torino!

Meneja wa zamani wa Milan ameteuliwa kuwa meneja mpya wa klabu ya Torino. Meneja huyu anaripotiwa kuwa amesaini mkataba wa miaka miwili kwa sasa.

Torino waliachana na meneja wao aliyepita, Moreno Longo baada ya kutoa sare ya 1-1 dhidi ya Bologna wakati wakimalizia kampeni yao ya Serie A Agosti 2.

Longo, ambaye alichukua nafasi ya mtangulizi wake Walter Mazzarri mwezi Februari, amefanikiwa kushinda mechi 3, na kutoa sare mechi 4 katika jumla ya mechi 16 za ligi. Mchango wake umeishia kuwasaidia Torino kusalia kwenye ligi kwa pointi 5 zaidi juu ya mstari mwekundu wa kushuka daraja.

Ijumaa ya Agosti 7, klabu imethibitisha kuwasili kwa Giampaolo klabuni hapo, ambaye amesaini dili la miaka miwili.

Hiki, kinakuwa ni kibarua cha kwanza cha Giampaolo tangia alipoondoka Milan mwezi Oktoba, ikiwa ni miezi minne tu tangia alipofika klabuni hapo. Meneja huyu wemye miaka 53, alitimuliwa na Milan baada ya kupoteza gemu 4 kati ya gemu 6 za kwanza za ligi kwa msimu mpya.

 


 

Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.

Ingia Mchezoni

32 Komentara

    Marco giampolo ni kocha mzoefu na mahiri cha msingi wana Torino wampe support kubwa na ushirikiano wa dhati watafikia kilele cha mafanikio.

    Jibu

    Marco ni kocha mzuri sana Wana Torino hakika mmempata chombo kikubwa ni ushirikiano ili mfike kwenye kilele Cha mafanikio

    Jibu

    Torino wamegundua Marco Giampaolo anakitu ndani yake ambacho kitaweza wasaidia katika kupambana ndani ya Serie A

    Jibu

    Wana Torino wampe nguvu Marco ili aweze kufika anapotaka…

    Jibu

    Marco yupo vizuri ndiomaana Torino wamemuamini

    Jibu

    Marco namkubali sana

    Jibu

    Marco ni kocha mwenye uzoefu na mahiri wampe ushirikiano wa dhati wafike kilele cha mafanikio#meridianbettz

    Jibu

    Huu ndio muda wake kocha giampaolo kufukia makosa yote yaliyo tokea

    Jibu

    Torino kumuamn marco awakosea

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Makal nzur

    Jibu

    Hongera kwake Marco nikocha mwenye kujua mwenye uwerewa kujua Nini anafanya kwenyekikosi chake chakazi

    Jibu

    Msimu wa kusuka vikosi pamoja na bench la ufundi na Torino wamezingatia usemi wa wahenga kwamba ukiona timu inayumba badili Meneja#meridianbettz

    Jibu

    Marco kila la kher broo huko uendako

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Hongera kwa uteuzi

    Jibu

    torino wamepata meneja mzuri sana

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Marco ana kitu ndani yake ambacho kitaweza kuwasaidia

    Jibu

    Kweli kazi ya ukocha ngumu sana.

    Jibu

    Nice update 👍

    Jibu

    Habari njema Sana

    Jibu

    Hongera

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Msimu wa kusuka vikosi pamoja na bench la ufundi na Torino wamezingatia usemi wa wahenga kwamba ukiona timu inayumba badili kocha

    Jibu

    Safiii

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Good news kwa torino

    Jibu

    Kwa hili Torino wamebugi

    Jibu

Acha ujumbe