McTominay Aweka Mbili za Fasta Fasta.

McTominay amekua mchezaji wa kwanza katika historia ya Ligi Kuu ya England kufunga mara mbili katika dakika tatu za mwanzo za mechi wakati Manchester United ikiongoza kwa 2-0 dhidi ya Leeds United.

Katika mechi yao ya kukutana kwa mara ya kwanza kwenye ligi na wapinzani wao ni zaidi ya miaka 16 imepita, McTominay alifungua bao baada ya sekunde 66 tu aliweza kufunga

Ilikuwa ufunguzi wa haraka zaidi wa United kwenye Ligi ya Premia tangu Robin van Persie alipofunga baada ya sekunde 31 dhidi ya West Ham mwezi Novemba 2012.

McTominay alifunga kwa sekunde chini ya dakika mbili baadaye, akikimbia mpaka kwenye eneo la hatari na kukutana na pasi ya Anthony Martial na kumaliza vizuri nyuma ya Illan Meslier.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Scotland aliiweka mbele United kwa goli mbili ndani ya sekunde 170 – ni timu ya kwanza kufunga magoli mawili kwa haraka tangu Arsenal walipofunga mabao mawili kwa sekunde ya 164 dhidi ya Newcastle United mwezi Februari 2011.

United walikuwa wakiongoza kwa 3-0 hadi dakika ya 20, na Bruno Fernandes akiendelea kuisumbua ngome ya Leeds.


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

21 Komentara

    Duuh hongera zake kwa ushindi wa kishindo

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Hongera zake

    Jibu

    Hii ndio united

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Pongezi kwake mc tominay

    Jibu

    Hongera zake zid kupambana zaid#meridianbett#

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Saf

    Jibu

    Ongera yake

    Jibu

    Mctominay amenikosha sana

    Jibu

    Hii ndio United 🔥🔥🔥

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    United noma sana

    Jibu

    Kaz kaz

    Jibu

    Safii kaz kaz

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Pongezi sana

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Brilliant

    Jibu

Acha ujumbe