Mechi ya Norway vs Romania Yahairishwa Sababu ya Corona.

Mechi ya Norway dhidi ya Romania katika michuano ya Nations League ambao ilipangwa kuchezwa siku ya Jumapili imehairishwa baada ya mamlaka za afya kuthibitisha baadhi ya wachezaji kuwa na maambukizi.

Shirikisho la soka nchini Norway (NFF) limethibitisha kwamba mlinzi wa Garatasaray Omar Elabdellaoui ameambukizwa na tayari amejitenga na kikosi.

Norway ilikuwa ikitumaini kucheza wikiendi hii katika uwanja wa taifa wa National Arena mjini Bucharest kama ilivyokuwa imepangwa, lakini sasa wamezuiliwa kucheza gemu hiyo.

Rais wa NFF, Terje Svendsen amesema katika taarifa siku ya Jumamosi: “Norwegian Football Federation inaamini kwamba tunaweza kusafiri ndani ya utaratibu.

“Serikali ya Norway imesema hapa kwa hili, hatukubaliani na hilo lakini hatuwezi kwenda kinyume na Serikali.

Ndiyo mechi ya kwanza katika michuano ya Nations League kuhairishwa sababu ikiwa ni virusi vaya Corona.

“Hatukutarajia kama mamlaka zingetu lazimisha kukaa nyumbani,” Svendsen aliongeza: “Mataifa yote 54 ya UEFA Nations yanaendelea kucheza juma hili isipokuwa Norway pekee.

Unakuwa mchezo wa Pili kwa Norway kuhairishwa wiki hii baada ya kukatisha mchezo wa kirafiki dhidi ya Israel baada ya straika wapinzani wao Munas Dabbur kupatikana na virusi vya corona.


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

23 Komentara

    Duuh covid 19 ni tishio

    Jibu

    Corona inazid kuwa kikwazo kila iitwapo leo

    Jibu

    Corona gumzoo

    Jibu

    Covid 19 ni janga la dunia nzima

    Jibu

    Corona sio poa

    Jibu

    Jamani! Hii corona hii ituache tufanye yetu

    Jibu

    Corona inatukosesha uhondo

    Jibu

    Corona inazingua

    Jibu

    ili gonjwa linazidi kuharibu kila mipango

    Jibu

    Coronavirus sio poa inakwamisha mambo mengi

    Jibu

    Corona imeharibu Kila kitu hapa duniani

    Jibu

    Hii Corona imekuwa mtihan ss!!

    Jibu

    Poleni san kwa janga la corona

    Jibu

    Dash kwa kweli hili janga linatukwamisha kupata pesa nyingi mana katika mkeka bado timu hii tu nipate pesa nyingi sasa naenda kupata pesa ndogo .poleni sana ambao mnaumwa mwenyezi mungu tusaidie kuliondoa janga hili kabisa Amen

    Jibu

    Ihi corona noma sana

    Jibu

    Dahh

    Jibu

    Korona hishakua too muchi kwa kweli sijui litaisha lini ili gonjwa

    Jibu

    Corona sasa bac

    Jibu

    Hili janga la Corona sasa lishakuwa tishio kwa nchi za wenzetu huko

    Jibu

    Corona iishe tu jamn

    Jibu

    Duu sio poa gonjwa Lina katisha tamaha kwenye michezo mungu awape moyo wa subila kwenye michezo ya kisoka nakazalika

    Jibu

    Corona noma

    Jibu

    Corona siyo poa

    Jibu

Acha ujumbe