Mkongwe Scholes Kuwa Kocha wa Muda wa Salford.

Paul Scholes amechukua nafasi ya kuwa kocha wa muda mfupi wa timu ya Salford City baada ya timu hiyo ya League Two kumfungisha virago Graham Alexander siku ya Jumatatu.

Mkongwe huyo wa Manchester United amepewa muda wa siku 31 kuchukua mikoba ya mtumishi mwenzake katika klabu ya Oldham Athletic mwaka uliyopita.

Alikuja kuwa msimamizi wa Salford baada ya Salford kutofungwa katika ligi msimu huu, na wameamua kukatisha mkataba na Alexander baada ya utawala mpya uliyoanza mwezi mei mwaka 2018 ikijumuishwa kuipandisha kutoka katika Conference National.

Mechi ya kwanza ya Scholes mara baada ya kukabidhiwa usukani wa Salford, baada ya kukubali sare ya 2-2 dhdi ya Tranmere Rovers siku ya Jumamosi, itachezwa Port Vale wikendi hii.

Mchezaji huyo mwenye umri 45 ni sehemu ya umiliki wa Salford akiwa na wachezaji wenzake wa zamani wa United David Beckham, Ryan Giggs,Nicky Butt,Gary na Phil Neville wote wakiwa wamewekeza katika klabu hiyo.


Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua. 

Cheza sasa 

Samurai Ken Online Casino

22 Komentara

    Pongezi kwa Paul Scholes

    Jibu

    Pongez kwa legend PAUl scholes ss mashabik wako tupo nyuma Ako

    Jibu

    Hongera kwa paull scholes

    Jibu

    Moja ya viungo bora kbs kuwahi kucheza Man U

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Wamepata kocha mzuri sana enzi zake Paul alikuwa ashikiki

    Jibu

    Anasitahili pongezi

    Jibu

    Great

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Pongez kwake

    Jibu

    Huyo kiungo yuko vizur sana

    Jibu

    safi sana scholes

    Jibu

    Big up

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Good

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Sawaaaaaa

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Pongz kwak

    Jibu

    kocha mzuri sana enzi zake Paul alikuwa ashikik

    Jibu

    Gud

    Jibu

Acha ujumbe