Morelos Aibeba Rangers.

Alfredo Morelos alitokea benchi na kuisadia Rangers kupata ushindi wa 1-0 dhidi ya Lech Poznan katika michuano ya Europa League siku ya Alhamisi.

Timu ya Steven Gerrard ilishinda 2-0 dhidi ya timu ya Standard Liege wiki iliyopita lakini ilionekana kushikwa koo katika dimba la Ibrox mpaka Morelos alipoingia dakika ya 63 ya mchezo.

Mchezaji huyo wa Colombia alileta mabadiliko baada ya kumbadili Kemar Roofe na dakika tano baadaye aliweza kufunga na kufanikisha ushindi wa nane mfululizo kwa timu ya Rangers katika mashindano yote.

Matokeo hayo yanamaanisha Rangers wapo levo moja na Benfica kwa kukamata point sita ambao watakutana wiki ijayo kwa kumamilisha hatua ya makundi.

Kipindi cha kwanza timu zote mbili zilitengeneza nafasi kadhaa za kufunga na ilionekana mchezo kuwa 50/50 ingawa takwimu kwa ujumla zinaonesha Rangers ilipiga mashuti matatu yaliyolenga langoni na Poznan hawakufanikiwa kupiga shuti lililoelekea langoni.


TSH.160,000,000 KUSHINDANIWA!

Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.

Kamata Mkwanja wako HAPA

22 Komentara

    Morelos Yuko vizuri

    Jibu

    Mguu wa kaz

    Jibu

    Yupo vizur sana huyo kijana

    Jibu

    Morelos amewaokoa rangers

    Jibu

    Namkubali sana Morelos yupo vizuri

    Jibu

    Morelos alivyoingia neema ilionekana kwenye timu yake yupo vizuri sana mechi ilishakuwa ngumu kwa upande wao

    Jibu

    Safi san morelos kwa kazi nzur unayofany!

    Jibu

    Asante kwa nakala

    Jibu

    Vizuri Sana pongezi zake dogo kaipa ushindi Rangers

    Jibu

    Rangers kama watamtumia morelos vizuri hatabadilisha matokeao

    Jibu

    Marelos ni mtu mwingine

    Jibu

    Marelos yupo vizuri

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Pongez kwake kwa goli la ushindi kwa rangers

    Jibu

    Hongera sana Morelos

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Hong era yake

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Safi sana Iko poa

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe