Said Ntibazonkiza atumiwa ujumbe na Mayele, Aliyekua mchezaji wa klabu ya Dar Young Afrika Saidoo Ntibazonkiza ametumiwa ujumbe wa kuagwa na mshambuliaji wa klabu hiyo Fiston Kalala Mayele, Ujumbe huo uliokua na sura ya kudhihirisha urafiki wao na namna wachezaji hao wameshibana na kua na umoja ndani ya klabu hiyo
Ntibazonkiza
Ntiba

Kupitia ukurasa wa instagram wa mchezaji wa klabu ya Yanga Fiston Mayele amemuaga aliyekuwa mchezaji wa klabu hiyo Saido Ntibazonkiza mara baada ya mkataba wake kumalizika klabuni hapo.

Ntibazonkiza

Mayele ameandika.

“Nibazonkiza Nakutakia kila la kheri najua sio mwisho wetu kwa sababu ulikuwa unamchango mkubwa kwangu ntaendelea kukukumbuka ntakumiss sana najuwa tutaendela kuwasiliana lakini bado ulikuwa unaumuimu kwangu nakupenda kaka yangu’

 


 

SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAID HAPAA

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa