Oscar Garcia amefukuzwa na klabu ya Celta Vigo baada ya michezo tisa pekee msimu huu.

Celta Vigo wapo nafasi ya 17 mbele ya washika mkia kwa tofaauti ya alama moja wakiwa wamefanikiwa kushinda mchezo mmoja pekee nakukusanya alama 7 msimu unaondelea 2020-21.

Sare ya 1-1 dhidi ya Elche ili dhihirisha kuwa ndiyo mchezo wa mwisho kwa Oscar kuwa inchaji wa Celta Vigo.

Oscar Garcia Afungishiwa Virago na Celta Vigo.
Aliyekuwa kocha wa RC Celta, Oscar Garcia.

“Oscar Garcia Junyent na benchi lake la ufundi hawatohusika na ukufunzi kwa RC Celta,” taarifa ya klabu ilisomeka.

“Klabu inawasilisha shukrani kwa kocha wa Catalan na timu yake, kwa kazi, taaluma na jitihada ambayo wameonesha wakati wakiwa RC Celta Vigo, ambapo waliunganisha wasifu wa timu katika msimu mgumu wa LaLiga 2019-20.

“RC Celta inamtakia kila la kheri Oscar Garcia na wasaidizi wake vyote katika taaluma ya ke na yeye mwenyewe binafsi.

Osacr ametumia miezi 12 kuwa na Celta Vigo na kutetea timu hiyo kutoshuka daraja licha ya kushindwa kupata ushindi wowote katika michezo saba ya mwisho msimu 2019-20.


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

22 MAONI

  1. Kocha oscar Garcia amekuwah na matokeo mabaya Sana ndani ya celta vigo msimu huuu bodi ya celta wamefany maamuzi sahihi kufanya mabadiliko pengne panawez leta tija au mabadiliko ndani ya kikos Cha celta vigo ndani ya msimu huuu

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa