Pablo Franko Ameshatua, Simba Wampokea kwa Mbwembwe

Pablo Franko ni moja ya majina yaliyotajwa zaidi kwa kipindi cha wiki mbili zilizopita baada ya timu inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kumtaja kama mrithi wa Didier Gomez aliyekua kucha mkuu wa timu hiyo ambae mwanzoni mwa mwezi wa 11 mwaka huu alitimuliwa yeye na baadhi ya wasaidizi wake wa benchi la ufundi.

Simba ilimtangaza rasmi kocha huyo Pablo Franko mwenye rekodi ya kuvifundisha vilabu kadhaa vikubwa nchini Uhispania ikiwemo Real Madrid akiwa kama kocha msaidizi nyuma ya Zinedine Zidane,

Pablo Franco Kocha Mkuu Simba SC.

Baadhi ya mashabiki wa simba wamesikika wakisema sasa simba inaenda kucheza soka la ki Hispania na uhakika wa makombe na mafanikio walio ahidiwa na viongozi wao linakwenda kufanikiwa
“Mpira ni burudani na mburudishaji ameshafika , wapinzani wajipange tunaweza kubeba shirikisho na makombe yote ya ligi za ndani” alisema shabiki wa simba.

Simba ikiwa katika nafasi ya 2 katika msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara ikiwa na pointi 11 nyuma ya mahasimu wao wa muda mrefu klabu ya Yanga ambao wao wana pointi 15, Je Pablo Franko anakuja kuirudisha simba kileleni?.



NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe